chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Mlete mdhungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni Lembeni Mwanga KilimanjaroMdhungu akipiga tizi kwenye daraja la pale TAZARA mbalizi.....mbeya[emoji23][emoji23]View attachment 2324622
Duuh wamemuweka mzee na kibamia kabisa[emoji23]Hakuna cha ubaguzi hapo mzee wa kazi usibbaike na rangi,mambo haya utayakuta England,utayakuta Ufaransa na kwingineko kote sema wewe ushabiki umeweka mbele inayochangiwa na inferiority complex tu,fuatilia hata the way hata vyombo vikubwa vya habari vinavyomock picha za Maguire utaelewa namaanisha mimi...Halafu pia watanzania tumenza kuwa na ujuaji wa kijinga kila kitu tunajifanya sijui human rights mar cyber bullying..hpo pichan ni Union garden marekani na hilo sanamu ni raisi donald Trump watu wanammock na hakuna hata kelele yoyote iliyosikika kam wajuaji w Bongo mnavyofanya.je kati ya hii picha na hizo editing upi ni bullying!View attachment 2324848
Kwa kweli inasikitisha .....kama umefutilia video za kitenge pale studio kwao....uta mind kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Sure. Mm sipo ktk kumponda kabisa..ila sasa naona its too much ,,nonsense
Huyo nae anazeeka vibaya. Wala sisikilizagi hyo redio wala tv yao wako biasKwa kweli inasikitisha .....kama umefutilia video za kitenge pale studio kwao....uta mind kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo alitengeneza Hadi igizo la mdhunguuu
[emoji1787][emoji1787]Leta mzungu ,,,,,,,×2
Leta mzungu ,,,,,,,×2
Leta mzungu ,,,,,,,×2
Leta mzungu ,,,,,,,×2
Leta mzungu ,,,,,,,×2[emoji23][emoji23][emoji23]
Daaaaah Hawa jamaa democracy yao ....Ni Next levelNdo nimemtumia pic huyo jamaa anayedai hizo picha za editing ni bullying hili aone level ya kitu kuwa bullying inakiuwaje halafu watu wenye akili zao timamu hawakupiga kelele wala nini maisha yanandelea kama kawaida