Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, sasa kwa Bigirimana ni uongo?? Akati ni kweli alikua ktk kiwanda cha bia, na alitimuliwa kisa wizi, sio picha tyuuh hadi clip akiongea na wafanyakazi wenzake ipo.

Sasa kwa huyu Dejan, si mnaweka dhihaka zisizo na mashiko kujifariji??? Mkichoka mtaacha, ila kwa bigirimana ni kweli.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli kabisa mkuu,bora hata Yanga mashabiki humu wanamsukumo wa kukemea lakini Simba wote walikua wanafurahia picha za matusi na dhihaka kwa Yanga wala hawajali kuwa nyingine ni kinyume na maadili yetu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan uongo kwa bigirimana???
 
Tuseme tu ukweli..

Kwa mdhungu

Tumepigwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Moderator futeni huu uzi na pigeni ban huyu mtu. Huu ni ubaguzi kama ubaguzi mwingine wowote anaoweza kufanyiwa binadamu yoyote kwa lengo la kumdhalilisha.
 
Moderator futeni huu uzi na pigeni ban huyu mtu. Huu ni ubaguzi kama ubaguzi mwingine wowote anaoweza kufanyiwa binadamu yoyote kwa lengo la kumdhalilisha.
Mods sio ndugu zako.
Mbona hukemei manara anapoitwa sope, mzungu toleo la mwisho?

Unafki unakusumbua na team lenu.
Moderator hili ni soka hakuna ubaguzi wowote sababu jamaa ni mzungu kweli kwani uongo?

Acheni uzi wa huyo jamaa uendelee
Lete mzunguu 😂😂
 
Lete mdhunguu

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…