Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeee sanaaa.Kule ki hakukutana na combination ya kina mayele plus morison
Kafunga bao 1 zuri na safiii mnoo.Pole ya nn sasa ...[emoji15][emoji15]
Hivi hujajigundua kuwa wewe ni zwazwa? Angalia uzi huu ulivyojaza post zako za kijinga hadi watopolo wenzako wanakupotezea.Lile goli....hata wew ungefunga tu..... mzunguuuuuu kufunga bila kipa kuwepo golini[emoji23][emoji23]
Kwani ulitaka kipa afanyejeee? Ndo ashafunga sasaa.Lile goli....hata wew ungefunga tu..... mzunguuuuuu kufunga bila kipa kuwepo golini[emoji23][emoji23]
Poleeeeeeeh Mzunguuu kawakalishaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhan magoli ya Mayele ...umeyaona
Dah nchi ilikuwa ya moto balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mzungu kumbe alipitia mengii ndio maana alikimbia nchi[emoji16][emoji16][emoji16]
Sikujua kama walikuwa wanamuedit hivyo,nimechekaaDah nchi ilikuwa ya moto balaa
Hakika aliteseka🤣Mzungu aliupiga mwingi
Mudy kashtuka mnampiga,anawapa mzigo mnaminya alafu ,naenda kukusanya viazi vibovu kariakoo.Ngoja tuongee na mudi