mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 760
Hakuna cha mlevi
Wewe ndio unahusika na umechomeka fix nyingi kutimiza unachotaka kusema.
Wewe ndio unahusika na umechomeka fix nyingi kutimiza unachotaka kusema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio mwandishi kitaaluma.Umeadika uongo mkuu.
Hio scenario haiko sawa. Ungeipanga vizuri ungeeleweka.
Kuna TV moja ilikua inarusha kipindi fulani kinaitwa mtaa kwa mtaa,(USWAZI)huko pia tuliona watu Kama huyu mlevi niliyekutana nae.
Nisamehe kama habari hii haijakupendeza,lakini Hawa wa hivyo wako wengi Sana huku mitaani hasa uswahilini.
Hajitambui kwa sababu kasema atampigia kampeni usiyemtaka au?Walevi sana lakini siyo wasijitambua kama huyo.
Utanipoteza au.Naendelea kusisitiza Kwako kuwa 'Jitathmini' hujachelewa.
Utanipoteza au.
Walevi wako wengi Kuna wanaotumia bapa pia ,Tena ni watu wa kuheshimika Sana.We nae utakuwa mlevi mwenzake
Kwa uongo tu mpo vizuri.
Mimi nakuambia kila jamii wameapa kuuangusha Mbuyu.Hata huku nilipo uswahilini walevi wa chibuku wameahidi kumpa kura TL..
Alikua akitembea huku akipepesuka njia nzima mida ya saa tatu usiku.
Alikua akiongea peke yake muda mwingi,lakini kila aliyekutana nae alimshirikisha furaha yake bila kujali anamshirikisha Nani.
Alipokutana na Mimi,simjui hanijui,sikumpuuza Kama wengine walivyokua wakimpuuza.
Maneneo aliyokua akiyarudiarudia kwa furaha ya kilevi, Ni haya.
"Aaah nitampigia kampeni Dar es salaam yote".
Nikamuuliza Nani?
Akajibu" tayari wameshampitisha nakwambia"
Nikamuuliza Tena wamempitisha Nani?
Akanijibu kwa kunifokea" si Lissu!"
Nikamuuliza,wewe utamchagua Lissu?akajibu,"Tayari nimeisha Anza kumpigia kampeni kwenye vilabu viwili na ninaenda kwingine,nitafanya hivi Dar es salaam yote."
Na huko nilikotoka wamenielewa na wamekubali kumpigia,na huko nakoenda watanikubalia tu kwa sababu wananijua Sana,najulikan a Sana.
Kwa Nini unajulikana?
Akaanza kufunguka.
Kaka yangu amekufa.
Kabla hajafa alikua na nyumba nzuri tu Kimara.
nyumba yake ya Kimara ilibomolewa hakulipwa,
Familia ikakosa mahala pa kuishi.
Akarudi nyumbani mke na watoto akaacha kwangu,Mimi nimepanga chumba kimoja cha kuishi na ninafanya kazi ya kutembeza mitumba.
Kaka alikua mfanyabiashara wa korosho,akanyang'anywa korosho zake huko Mtwara kwa sababu hakua na shamba.
Kaka yangu akachanganyikiwa kabisa,akaugua "stroku" Hadi mauti yakamkuta.
Mke wake yaani Shemeji yangu yeye naye aliachishwa kazi kwa sababu eti walimwambia Hana Cheti,wakati aliajiliwa na serikali hiyihiyo,Sasa Kama Hana cheti walimwajilije? Aliuza mlevi.
Baada ya kuachishwa kazi na mme wake kunyang'anywa korosho na kwa kuwa nyumba Yao ilibomolewa bila kulipwa, na yeye kufukuzwa kazi Shemeji yangu nae akaanza kuumwa "Stroku"na yeye kafa.
Sasa nimebaki Mimi na watoto wao wanne,wawili wameacha kusoma chuo,wawili nawasomesha mimi ila Shule waliokua wanasomeshwa na wazazi wao niliwatoa.
Maisha yangu yamekua magumu,Sasa nimeamua kulewa tu,
Sina kazi,nilisomea ufundi wa mashine ( fitter Turner)
Nimemaliza chuo 2014 nimetafuta kazi miaka mitano sijapata.nimeamua kutembeza mitumba na kulewa tu.nina mke na watoto wawili wangu na wa Kaka wanne,jumla Nina watoto sita.
Nitamchagua Lissu na nitampigia kampeni vilabu vyote Dar es salaam.
Vilabu vyote nilivyopitia kabla hajapitishwa na baada ya kupitishwa wanamkubali Lissu.
Nilimtia moyo nikampa Sha 10,000=,nikaondoka yangu
Hiyo ndio hali halisi huko mitaani.
Uwongo ukisemwa Mara nyingi unakuwa ni ukweli!Ni uongo unaofanana na ukweli.
Ndugu mbona wewe unapenda Sana migogoro?Kwani kuna Tangazo lolote lile lilitolewa hapa Jamvini kuwa umepotea?
Huyu mlevi anastahili fungu la kampeni kutoka Team Lissu, lakini asipewe kwa mkupuo. Tutampa laki moja kila weekend mpaka kampeni zimalizike.Hujasoma ukaelewa,huyo jamaa kaamua kulewa sababu ya changamoto alizopitia Tena za kusababishiwa.
Kapoteza Kaka kwa kunyang'anywa mahala pa kuishi (kubomolewa nyumba bila malipo) na kadhulumiwa korosho zake.
Kamaliza chuo Hana ajira,
Shemeji yake kafa kwa kuambiwa Hana cheti,
Yeye kaapa kumpigia Lisu kampeni kwa wanyonge wenzie.
Huko vilabuni pia Kuna wapiga Kura hata Magufuli anahitaji kura zao.
Aaah wapi walevi hulewa jioni,yeye ataamka alfajiri ili akamalize hasira zake kwanza ndo aende kunywa.Yeye mweyewe siku ya kupiga kura atakuwa amelewa na hatapiga kura sasa huyo nae unatuletea habali yake hapa?
hawezi kujua Hali halisi Kama hajawa halisi katika halisiaKuna TV moja ilikua inarusha kipindi fulani kinaitwa mtaa kwa mtaa,(USWAZI)huko pia tuliona watu Kama huyu mlevi niliyekutana nae.
Nisamehe kama habari hii haijakupendeza,lakini Hawa wa hivyo wako wengi Sana huku mitaani hasa uswahilini.