Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Ajue walevi ni wachache! Hao hawatatusumbua tunaojitambua. Hata hivyo ana uwezo wa kuongoza walevi na waliochanganyikiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Da Jasusi la Kagame aisee umefanikiwa kunitoa kwenye reli.Nashukuru kwa Kulijua hilo. Kiufupi tu nililolitaka katika huu Uzi wako limetokea hivyo najiona ni Mshindi na mwenye Mafanikio hasa Kimedani pia.
Hebu wewe mwenyewe fikiria unajitangaza Mshindi wakati Mimi sikujua kama tunashindana,Wala sikujua Kama huu uzi wangu unakushughulisha wewe uko sawa kweli.Nashukuru kwa Kulijua hilo. Kiufupi tu nililolitaka katika huu Uzi wako limetokea hivyo najiona ni Mshindi na mwenye Mafanikio hasa Kimedani pia.
Ukitaka kujua idadi ya walevi nenda kwenye mabaa na vilabu vya pombe.Ajue walevi ni wachache! Hao hawatatusumbua tunaojitambua. Hata hivyo ana uwezo wa kuongoza walevi na waliochanganyikiwa.
Ni kweli kabisa MkuuSera mbovi zimetufiksah hapa tulipo
Hebu wewe mwenyewe fikiria unajitangaza Mshindi wakati Mimi sikujua kama tunashindana,Wala sikujua Kama huu uzi wangu unakushughulisha wewe uko sawa kweli.
Tena uajitangaza Mshindi dhidi ya Mimi mtu mwenye hitilafu ya ubongo wewe hujioni una matatizo kweli.
Mimi nakushauri Genius wangu jipeleke mwenyewe hospital ya watu wenye afaya aya akili.
Kwa kifupi wewe ndio unaibika humu.na Mimi sitaki genius wangu uaibike kabla Lisu hajawa Rais.
Hiyo Ni dhuruma dhidi ya watu wanyonge,na hii inajiita serikali ya wanyonge.Kilichonikere pale kwenye kunyanganywa korosho kisa cyo mkulima hana shamba Ni sera mbovu ya ccm hiyo afu kubomoleea nyumba bila fidia Ni sera mbov ya ccm
Nyie mnadhani walevi hawajui mambo,Kuna walevi Ni madktari na mprofesa waliokata tamaa na maisha lakini elimu na uelewa wao uko palepale.Hakuna cha mlevi
Wewe ndio unahusika na umechomeka fix nyingi kutimiza unachotaka kusema.
Lissu anapendwa na kila mtu,Raia na wasio Raia.Aisee.... ina maana wafuasi wao ni walevi sasa
Mie situmii laga,Nilikua najipitia tu nakuta mtu anaongea kivyake,kumsikiliza kumbe Ana hasira zake,amepania kufanya jambo la kihistoria.We nae utakuwa mlevi mwenzake
Wao ndio watatangaza mshindi?Lissu anapendwa na kila mtu,Raia na wasio Raia.
Kwa taarifa yako Uchaguzi wa mwaka huu kwa sababu anagombea lisu utakua unafuatiliwa na dunia nzima Kama mechi ya fainali ya UEFA.
Huko Kenya watu watakaa kwenye TV huko EU Ni hivyo hivyo,US Kama kawa.
Mwaka huu kila jiwe litafunuliwa.
UN ndo usiseme kabisa Antonio Guterezi hata lala siku hiyo.
FATOU Ben Suda nae ndani ya nyumba.
CCM mnashida sana.Alikua akitembea huku akipepesuka njia nzima mida ya saa tatu usiku.
Alikua akiongea peke yake muda mwingi,lakini kila aliyekutana nae alimshirikisha furaha yake bila kujali anamshirikisha Nani.
Alipokutana na Mimi,simjui hanijui,sikumpuuza Kama wengine walivyokua wakimpuuza.
Maneneo aliyokua akiyarudiarudia kwa furaha ya kilevi, Ni haya.
"Aaah nitampigia kampeni Dar es salaam yote".
Nikamuuliza Nani?
Akajibu" tayari wameshampitisha nakwambia"
Nikamuuliza Tena wamempitisha Nani?
Akanijibu kwa kunifokea" si Lissu!"
Nikamuuliza,wewe utamchagua Lissu?akajibu,"Tayari nimeisha Anza kumpigia kampeni kwenye vilabu viwili na ninaenda kwingine,nitafanya hivi Dar es salaam yote."
Na huko nilikotoka wamenielewa na wamekubali kumpigia,na huko nakoenda watanikubalia tu kwa sababu wananijua Sana,najulikan a Sana.
Kwa Nini unajulikana?
Akaanza kufunguka.
Kaka yangu amekufa.
Kabla hajafa alikua na nyumba nzuri tu Kimara.
nyumba yake ya Kimara ilibomolewa hakulipwa,
Familia ikakosa mahala pa kuishi.
Akarudi nyumbani mke na watoto akaacha kwangu,Mimi nimepanga chumba kimoja cha kuishi na ninafanya kazi ya kutembeza mitumba.
Kaka alikua mfanyabiashara wa korosho,akanyang'anywa korosho zake huko Mtwara kwa sababu hakua na shamba.
Kaka yangu akachanganyikiwa kabisa,akaugua "stroku" Hadi mauti yakamkuta.
Mke wake yaani Shemeji yangu yeye naye aliachishwa kazi kwa sababu eti walimwambia Hana Cheti,wakati aliajiliwa na serikali hiyihiyo,Sasa Kama Hana cheti walimwajilije? Aliuza mlevi.
Baada ya kuachishwa kazi na mme wake kunyang'anywa korosho na kwa kuwa nyumba Yao ilibomolewa bila kulipwa, na yeye kufukuzwa kazi Shemeji yangu nae akaanza kuumwa "Stroku"na yeye kafa.
Sasa nimebaki Mimi na watoto wao wanne,wawili wameacha kusoma chuo,wawili nawasomesha mimi ila Shule waliokua wanasomeshwa na wazazi wao niliwatoa.
Maisha yangu yamekua magumu,Sasa nimeamua kulewa tu. Sina kazi,nilisomea ufundi wa mashine ( fitter Turner). Nimemaliza chuo 2014 nimetafuta kazi miaka mitano sijapata.nimeamua kutembeza mitumba na kulewa tu.nina mke na watoto wawili wangu na wa Kaka wanne,jumla Nina watoto sita.
Nitamchagua Lissu na nitampigia kampeni vilabu vyote Dar es salaam.
Vilabu vyote nilivyopitia kabla hajapitishwa na baada ya kupitishwa wanamkubali Lissu.
Nilimtia moyo nikampa Sha 10,000=,nikaondoka yangu
Hiyo ndio hali halisi huko mitaani.
Jina Pilsner na jinA Ukawa kipi kilianza.Kama wewe si mlevi huwezi kumpigia kura Lissu,ndio maana Chadema wanajiita ukawa (pilsner)
Mpaka nimekusikitikiaKweli Lissu ni wakuljnganishwa na walevi wasiojitambua kama huyo.
Unamkumbuka Raurel Bagbo ma Yahya Jamme?Wao ndio watatangaza mshindi?
Sio Kupanda Daraja tu Mkuu,Bali pia na increment ambayo nayo ipo kisheria Hakuna siku hizi kwa miaka sita Sasa.Miaka sita sijapanda daraja, na mboyoyo zao za kupunguza kodi, itakula kwao,siwezi kuwapa kura yangu