Uchaguzi 2020 Mlevi mmoja aapa kumpigia kampeni Lissu kwenye vilabu vyote vya pombe za kienyeji DSM nzima

Hakuna cha mlevi
Wewe ndio unahusika na umechomeka fix nyingi kutimiza unachotaka kusema.
 
Kuna TV moja ilikua inarusha kipindi fulani kinaitwa mtaa kwa mtaa,(USWAZI)huko pia tuliona watu Kama huyu mlevi niliyekutana nae.
Nisamehe kama habari hii haijakupendeza,lakini Hawa wa hivyo wako wengi Sana huku mitaani hasa uswahilini.

Naendelea kusisitiza Kwako kuwa 'Jitathmini' hujachelewa.
 
Aisee.... ina maana wafuasi wao ni walevi sasa
 
Walevi sana lakini siyo wasijitambua kama huyo.
Hajitambui kwa sababu kasema atampigia kampeni usiyemtaka au?
Maana Kodi haichagui hata walevi wanalipa Kodi ujue
Tena Kodi kwenye vilevi Kama bia ndio inaongezwaga kila mwaka.
 
Yeye mweyewe siku ya kupiga kura atakuwa amelewa na hatapiga kura sasa huyo nae unatuletea habali yake hapa?
 
Kwani kuna Tangazo lolote lile lilitolewa hapa Jamvini kuwa umepotea?
Ndugu mbona wewe unapenda Sana migogoro?
Kwani Mimi nikekufanyaje?
Mimi nimeandika nilichoshuhudia kosa langu Ni Nini?
Mbona unataka kuninyang'anya Uhuru wangu wa kutoa maoni au habari.
Wewe nitendee utakavyo weza ila
Mungu hapendi.Atajibu tu.
 
Huyu mlevi anastahili fungu la kampeni kutoka Team Lissu, lakini asipewe kwa mkupuo. Tutampa laki moja kila weekend mpaka kampeni zimalizike.
 
Yeye mweyewe siku ya kupiga kura atakuwa amelewa na hatapiga kura sasa huyo nae unatuletea habali yake hapa?
Aaah wapi walevi hulewa jioni,yeye ataamka alfajiri ili akamalize hasira zake kwanza ndo aende kunywa.
 
Kuna TV moja ilikua inarusha kipindi fulani kinaitwa mtaa kwa mtaa,(USWAZI)huko pia tuliona watu Kama huyu mlevi niliyekutana nae.
Nisamehe kama habari hii haijakupendeza,lakini Hawa wa hivyo wako wengi Sana huku mitaani hasa uswahilini.
hawezi kujua Hali halisi Kama hajawa halisi katika halisia
 
Lissu cni chaguo la wanyonge!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…