Uchaguzi 2020 Mlevi mmoja aapa kumpigia kampeni Lissu kwenye vilabu vyote vya pombe za kienyeji DSM nzima

Ajue walevi ni wachache! Hao hawatatusumbua tunaojitambua. Hata hivyo ana uwezo wa kuongoza walevi na waliochanganyikiwa.
 
Unajitahidi ungepeleka hii hadithi yako kwa shigongo angekupa vocha uandae nyengine
 
Nashukuru kwa Kulijua hilo. Kiufupi tu nililolitaka katika huu Uzi wako limetokea hivyo najiona ni Mshindi na mwenye Mafanikio hasa Kimedani pia.
Da Jasusi la Kagame aisee umefanikiwa kunitoa kwenye reli.
Safi Sana.
Mtu mwenye akili timamu Kama wewe umetumia mbinu kubwa nmna hiyo kwangu Mimi mtu mwenye hitilafu kwenye ubongo aisee naona Watu Sasa wataelewa Kati ya Mimi na wewe Nani Nani Ana hitalafu zaidi.
Unafaa kuwa mtaalamu wa mikakati wa kampeni wa Hon Magu ili uwe unamtoa Lissu kwenye malengo.
Maana Lissu anatisha.
 
Nashukuru kwa Kulijua hilo. Kiufupi tu nililolitaka katika huu Uzi wako limetokea hivyo najiona ni Mshindi na mwenye Mafanikio hasa Kimedani pia.
Hebu wewe mwenyewe fikiria unajitangaza Mshindi wakati Mimi sikujua kama tunashindana,Wala sikujua Kama huu uzi wangu unakushughulisha wewe uko sawa kweli.
Tena uajitangaza Mshindi dhidi ya Mimi mtu mwenye hitilafu ya ubongo wewe hujioni una matatizo kweli.
Mimi nakushauri Genius wangu jipeleke mwenyewe hospital ya watu wenye afaya aya akili.
Kwa kifupi wewe ndio unaibika humu.na Mimi sitaki genius wangu uaibike kabla Lisu hajawa Rais.
 
Ajue walevi ni wachache! Hao hawatatusumbua tunaojitambua. Hata hivyo ana uwezo wa kuongoza walevi na waliochanganyikiwa.
Ukitaka kujua idadi ya walevi nenda kwenye mabaa na vilabu vya pombe.
Au njia rahisi piga marufuku pombe nchini uone Kama uchumi wa nchi haijaporomoka.
 

Naona lengo langu limezidi tu na bado linaendelea Kutimia. Asante Mwenyezi Mungu!
 
Kilichonikere pale kwenye kunyanganywa korosho kisa cyo mkulima hana shamba Ni sera mbovu ya ccm hiyo afu kubomoleea nyumba bila fidia Ni sera mbov ya ccm
Hiyo Ni dhuruma dhidi ya watu wanyonge,na hii inajiita serikali ya wanyonge.
 
Hakuna cha mlevi
Wewe ndio unahusika na umechomeka fix nyingi kutimiza unachotaka kusema.
Nyie mnadhani walevi hawajui mambo,Kuna walevi Ni madktari na mprofesa waliokata tamaa na maisha lakini elimu na uelewa wao uko palepale.
 
Aisee.... ina maana wafuasi wao ni walevi sasa
Lissu anapendwa na kila mtu,Raia na wasio Raia.
Kwa taarifa yako Uchaguzi wa mwaka huu kwa sababu anagombea lisu utakua unafuatiliwa na dunia nzima Kama mechi ya fainali ya UEFA.
Huko Kenya watu watakaa kwenye TV huko EU Ni hivyo hivyo,US Kama kawa.
Mwaka huu kila jiwe litafunuliwa.
UN ndo usiseme kabisa Antonio Guterezi hata lala siku hiyo.
FATOU Ben Suda nae ndani ya nyumba.
 
Wao ndio watatangaza mshindi?
 
CCM mnashida sana.
 
Kama wewe si mlevi huwezi kumpigia kura Lissu,ndio maana Chadema wanajiita ukawa (pilsner)
Jina Pilsner na jinA Ukawa kipi kilianza.
Lissu nakuambia huku mtaani anatajwa Yeye,maofisini Ni yeye tu,mahospitalini,masokoni,magengeni Ni yeye tu.
 
Miaka sita sijapanda daraja, na mboyoyo zao za kupunguza kodi, itakula kwao,siwezi kuwapa kura yangu
 
Miaka sita sijapanda daraja, na mboyoyo zao za kupunguza kodi, itakula kwao,siwezi kuwapa kura yangu
Sio Kupanda Daraja tu Mkuu,Bali pia na increment ambayo nayo ipo kisheria Hakuna siku hizi kwa miaka sita Sasa.
Ukiona mfanyakazi wa serikali anamchagua CCM yeyote kwa ngazi yeyote jua huyo Ni Mchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…