LGE2024 Mlezi CCM, Morogoro: Viongozi wao wakuu hawaelewani, hawataweza kutatua kero za wananchi

LGE2024 Mlezi CCM, Morogoro: Viongozi wao wakuu hawaelewani, hawataweza kutatua kero za wananchi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) Jana akizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara wa Ufunguzi wa kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa/Vijiji katika Uwanja wa Chamwino Wilaya ya Morogoro Mjini Mkoani Morogoro

Pamoja na Mambo mengine, Kawaida amewaeleza wananchi wa Mkoa wa Morogoro kuwa kama viongozi wakuu wa Chama hawaelewani basi hicho Chama hakiwezi kutatua migogoro ya Wananchi hivyo hawafai kuchaguliwa kuwa viongozi katika ngazi yeyote ya uongozi.

Kwaida ameongeza pia kwa kuwapongeza wanachama wa Chama Cha Mapinduzi ambao walichukua fomu ya kugombea nafasi mbalimbali lakini kura hazijatosha na kuwasihi waungane na wanachama wengine katika kuhakikisha wanapatia ushindi mkubwa wagombea walioaminiwa kwa kipindi hiki.
PIA SOMA

 
Back
Top Bottom