Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi atiwa mbaroni akidaiwa kubaka watoto yatima watano kwa nyakati tofauti

Jamani upelelezi wa kina unatakiwa hayo ni mashtaka tu ya awali ...Kesi hizi zimekuwa na mambo ya kubambikiana kwa sana
 
 
Muhumiwa huyo alikuwa akikwabaka watoto hao wanaokaa kwenye kituo hicho akiwadanganya kuwa anawatengeneza kisaikolojia ili wasisumbuliwe na wanaume mtaani na waweze kufanya vizuri kwenye masomo yao ya Sekondari
 
Bado ni yatima bado mtu akuharibu saikolojia yako ukiwa mtu mzima akili inakua haiko sawa unaona kama Dunia ni mbaya sana
 
Wapo wengine wanaopatia mimba mahabusu na jela!
 
Aisee yaani maisha ya mtoto wa watu ni magumu na bado unazidi kuyaharibu jinga kabisa hilo
 
Ungeweka umri wa "waliobakwa" na jinsia ya waliobakwa na whether they are big or small.
Kwa sababu if you are annoyed at heterosex,it means you want homosexual.
Unakasirika as if they are his biological children.
There is no incest there.
Unachukilia poa haya mambo.
Lakini ukifuatilia vita ya Kongo utaona kuna ubakaji sana.
Mwanamke anatembea usiku anabakwa.
Kwa nini?
Kwa ajili ya watu kama nyinyi.
Mnapiga makelele when there is no problem.
Watoto lazima wafundishwe from an early age kwamba hakuna kitu cha bure.
Makosa haysondoki by people wishing them to go away.
Watu wengine wanataka kuachsa ulevi wanashindwa.
Watu wengine wanataka kuacha ulafi wanashindwa.
You must know what to do.
Makosa hayaondoki tu kwa kutamani yaondoke.
You must know what to do.
Ndio maana tunasikitika kwamba Padre,Dr. Slaa anaweza kukamatwa na kuzuiliwa mahabusu bila sababu yoyote.
Ndio tunasema Polisi watawakamata wahalifu na wataendelea kuwakamata wahalifu. Ndio kazi yao Polisi kufanya hivyo.
Lakini kuzuia uhalifu labda pia tunahitaji kiongozi wa aina fulani,yaani political leader ambaye yeye pia ni mheshimiwa,sio tu kwa kuitwa " mheshimiwa" lakini tabia yake inawafanya raia wafuate sheria bila shuruti.
Na mimi leo nadhani nitakwenda Kanisani sasa hivi.
Siku nyingi,wiki nyingi,sijakwenda Kanisani.
You are always wondering why people are bullying you do much.
Huelewi kwa nini watu wanakuonea kila siku.
It is because you don't go to Church.
That is seven months I have not gone to Church.
Leo napenda Kanisani.
 
Mkuu ww unaona sahihi hao watoto kubakwa?
 
Huyo mzinzi ahasiwe live,
Liwe fundisho,!
Pumpavu
 
Napata sense unatetea mbakaji.... Ni kweli?
 
Serikali Ina record kamili ya hivi vituo vya kulelea yatima Kwa maana ya idadi yake na namna vinavyoendeshwa.

Je Kila mikoa wilaya nkz ,kwenye hivi vituo Kuna control yeyote na utaratibu wa serikali namna gani vinatakiwa kuwa na kuendeshwa?
 
Huyo sio wa kufungwa, ni wa kuuliwa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…