Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi atiwa mbaroni akidaiwa kubaka watoto yatima watano kwa nyakati tofauti

Jamani upelelezi wa kina unatakiwa hayo ni mashtaka tu ya awali ...Kesi hizi zimekuwa na mambo ya kubambikiana kwa sana
 
Kutokana na "Nature" au scenario ya mkasa huu, huyo Askari Polisi hakupaswa kabisa kutaja jina la Mtuhumiwa huyo kwa Sasa. Alichopaawa kufanya ni kuamuru ufanyike upelelezi wa kina kabisa kimya kimya, baada ya kukamilisha upelelezi wao kisha Jeshi la Polisi lingeifikisha Kesi husika Mahakamani ili vyombo vya Sheria viweze kufanya kazi yake.
Kitendo cha kutaja hadharani jina la Mtuhumiwa huyo katika hatua hizi za awali za upelelezi kina madhara mabaya Sana, siyo katika mchakato wa uchunguzi wa kipolisi tu bali hata kwa sababu za kijamii kuhusu Watoto hao wanaoishi kwenye Kituo chake sambamba na kuathiri maisha ya watoto wengine wengi ambao wanaishi kwenye Vituo vya Kulelea watoto yatima.

Huyo Polisi alipaswa kuli-handle suala hili with great care! Ikiwezekana atume timu ya Askari Polisi kwenda kwenye sehemu za makazi na malezi Ni kweli et polis wameficha jina la kituo lakini wamemtaja mtuhumiwa je vp baadae hakawa hana hatia!
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo.

Muhumiwa huyo alikuwa akikwabaka watoto hao wanaokaa kwenye kituo hicho akiwadanganya kuwa anawatengeneza kisaikolojia ili wasisumbuliwe na wanaume mtaani na waweze kufanya vizuri kwenye masomo yao ya Sekondari.

Taratibu za upelelezi dhidi ya mtuhumiwa huyo zinaendelea na anahojwa kwa kina kwa kushirikiana na Idara nyingine za Serikali na mara baada ya kukamilika mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani.
View attachment 3229156
Muhumiwa huyo alikuwa akikwabaka watoto hao wanaokaa kwenye kituo hicho akiwadanganya kuwa anawatengeneza kisaikolojia ili wasisumbuliwe na wanaume mtaani na waweze kufanya vizuri kwenye masomo yao ya Sekondari
 
Bado ni yatima bado mtu akuharibu saikolojia yako ukiwa mtu mzima akili inakua haiko sawa unaona kama Dunia ni mbaya sana
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo.

Muhumiwa huyo alikuwa akikwabaka watoto hao wanaokaa kwenye kituo hicho akiwadanganya kuwa anawatengeneza kisaikolojia ili wasisumbuliwe na wanaume mtaani na waweze kufanya vizuri kwenye masomo yao ya Sekondari.

Taratibu za upelelezi dhidi ya mtuhumiwa huyo zinaendelea na anahojwa kwa kina kwa kushirikiana na Idara nyingine za Serikali na mara baada ya kukamilika mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani.
View attachment 3229156
Wapo wengine wanaopatia mimba mahabusu na jela!
 
Aisee yaani maisha ya mtoto wa watu ni magumu na bado unazidi kuyaharibu jinga kabisa hilo
 
Ungeweka umri wa "waliobakwa" na jinsia ya waliobakwa na whether they are big or small.
Kwa sababu if you are annoyed at heterosex,it means you want homosexual.
Unakasirika as if they are his biological children.
There is no incest there.
Unachukilia poa haya mambo.
Lakini ukifuatilia vita ya Kongo utaona kuna ubakaji sana.
Mwanamke anatembea usiku anabakwa.
Kwa nini?
Kwa ajili ya watu kama nyinyi.
Mnapiga makelele when there is no problem.
Watoto lazima wafundishwe from an early age kwamba hakuna kitu cha bure.
Makosa haysondoki by people wishing them to go away.
Watu wengine wanataka kuachsa ulevi wanashindwa.
Watu wengine wanataka kuacha ulafi wanashindwa.
You must know what to do.
Makosa hayaondoki tu kwa kutamani yaondoke.
You must know what to do.
Ndio maana tunasikitika kwamba Padre,Dr. Slaa anaweza kukamatwa na kuzuiliwa mahabusu bila sababu yoyote.
Ndio tunasema Polisi watawakamata wahalifu na wataendelea kuwakamata wahalifu. Ndio kazi yao Polisi kufanya hivyo.
Lakini kuzuia uhalifu labda pia tunahitaji kiongozi wa aina fulani,yaani political leader ambaye yeye pia ni mheshimiwa,sio tu kwa kuitwa " mheshimiwa" lakini tabia yake inawafanya raia wafuate sheria bila shuruti.
Na mimi leo nadhani nitakwenda Kanisani sasa hivi.
Siku nyingi,wiki nyingi,sijakwenda Kanisani.
You are always wondering why people are bullying you do much.
Huelewi kwa nini watu wanakuonea kila siku.
It is because you don't go to Church.
That is seven months I have not gone to Church.
Leo napenda Kanisani.
 
Ungeweka umri wa "waliobakwa" na jinsia ya waliobakwa na whether they are big or small.
Kwa sababu if you are annoyed at heterosex,it means you want homosexual.
Unakasirika as if they are his biological children.
There is no incest there.
Unachukilia poa haya mambo.
Lakini ukifuatilia vita ya Kongo utaona kuna ubakaji sana.
Mwanamke anatembea usiku anabakwa.
Kwa nini?
Kwa ajili ya watu kama nyinyi.
Mnapiga makelele when there is no problem.
Watoto lazima wafundishwe from an early age kwamba hakuna kitu cha bure.
Mkuu ww unaona sahihi hao watoto kubakwa?
 
Ungeweka umri wa "waliobakwa" na jinsia ya waliobakwa na whether they are big or small.
Kwa sababu if you are annoyed at heterosex,it means you want homosexual.
Unakasirika as if they are his biological children.
There is no incest there.
Unachukilia poa haya mambo.
Lakini ukifuatilia vita ya Kongo utaona kuna ubakaji sana.
Mwanamke anatembea usiku anabakwa.
Kwa nini?
Kwa ajili ya watu kama nyinyi.
Mnapiga makelele when there is no problem.
Watoto lazima wafundishwe from an early age kwamba hakuna kitu cha bure.
Makosa haysondoki by people wishing them to go away.
Watu wengine wanataka kuachsa ulevi wanashindwa.
Watu wengine wanataka kuacha ulafi wanashindwa.
You must know what to do.
Makosa hayaondoki tu kwa kutamani yaondoke.
You must know what to do.
Ndio maana tunasikitika kwamba Padre,Dr. Slaa anaweza kukamatwa na kuzuiliwa mahabusu bila sababu yoyote.
Ndio tunasema Polisi watawakamata wahalifu na wataendelea kuwakamata wahalifu. Ndio kazi yao Polisi kufanya hivyo.
Lakini kuzuia uhalifu labda pia tunahitaji kiongozi wa aina fulani,yaani political leader ambaye yeye pia ni mheshimiwa,sio tu kwa kuitwa " mheshimiwa" lakini tabia yake inawafanya raia wafuate sheria bila shuruti.
Na mimi leo nadhani nitakwenda Kanisani sasa hivi.
Siku nyingi,wiki nyingi,sijakwenda Kanisani.
Napata sense unatetea mbakaji.... Ni kweli?
 
Serikali Ina record kamili ya hivi vituo vya kulelea yatima Kwa maana ya idadi yake na namna vinavyoendeshwa.

Je Kila mikoa wilaya nkz ,kwenye hivi vituo Kuna control yeyote na utaratibu wa serikali namna gani vinatakiwa kuwa na kuendeshwa?
 
Back
Top Bottom