Nadhani ni lazima kila kituo kina ithibati, je Wahusika huwa wanafanya kaguzi za kushtukiza kujiridhisha kama Watoto wapo salama?Na kwa zama hizi za kidigitali mambo si rahisi zaidi kufuatilia mara kwa mara?Sijui mazingira ya hili tukio ila natamani Mamlaka za usimamizi nazo zimulikwe maana October mpaka januari ni muda mrefu kwa uhalifu kama huo kwa Watoto.