Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi atiwa mbaroni akidaiwa kubaka watoto yatima watano kwa nyakati tofauti

Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi atiwa mbaroni akidaiwa kubaka watoto yatima watano kwa nyakati tofauti

Nadhani ni lazima kila kituo kina ithibati, je Wahusika huwa wanafanya kaguzi za kushtukiza kujiridhisha kama Watoto wapo salama?Na kwa zama hizi za kidigitali mambo si rahisi zaidi kufuatilia mara kwa mara?Sijui mazingira ya hili tukio ila natamani Mamlaka za usimamizi nazo zimulikwe maana October mpaka januari ni muda mrefu kwa uhalifu kama huo kwa Watoto.
 
Akili mnemba hiyo! Ila upwiru unakaba koo🥶😝mtu kuona embe bichi 🤣ambalo kapanda mwenyewe anaamua kupanda mtini na chumvi kabisa
 
Back
Top Bottom