kwenye kampeni akiwa anagombea uraisi alafu mm nilikua chama pinzani basi kila akiongea mm naigiliza maneno yake huku nafatiliza sauti yake basi watu wanacheka sana kumbe kuna wafuasi wake (askari kanzu) walikua karibu nami wakanikamata eti naleta vurugu ktk kampein (akasema nipelekwe mbele yake)wakanipeleka kwake ndio hapo tukaonana live sasa akanipenda sana ivo hakunigombeza badala yake .......................(happy ending)
lakuchumpa guest house yeye alikuwa anatoka mimi naingia..
kwenye kampeni akiwa anagombea uraisi alafu mm nilikua chama pinzani basi kila akiongea mm naigiliza maneno yake huku nafatiliza sauti yake basi watu wanacheka sana kumbe kuna wafuasi wake (askari kanzu) walikua karibu nami wakanikamata eti naleta vurugu ktk kampein (akasema nipelekwe mbele yake)wakanipeleka kwake ndio hapo tukaonana live sasa akanipenda sana ivo hakunigombeza badala yake .......................(happy ending)
Kwani wanaoenda ktk kampeni lazima awe mtu mzima mbona mimi naendaga na marafiki zangu na wala sijafikisha 23.That means ur name is...()? Kipindi chote ulikuwa single au kuna mtu aliugulia maumivu..i cant imagine
ilikuwa mission au coincedence, behaviour zikoje kwa sasa amani iko? Vp je akichelewa kurudi kutoka kwenye ulanzi