candlelight96
Member
- Sep 20, 2021
- 38
- 78
Jiulize kwa nini ndoa nying hazidumu ndo utajua watu wanakaa kwenye uchumba miakaaa wanazoeana kama kaka na dada hamna kipyaUkute huna hata mahusiano ya kudumu achilia mbali ndoa.
Ila sasa unavyokuja kuwakatisha tamaa wenzio....
🙆🙆🙆🙌🙌🙌Hongera sana....
najiombea nimpate kwenye hii thread ilishindikana basi hata kule kwenye kimasihara....😔
Hahahah, mnapasha kiporo chenu.Tulikutana kwenye kivuko cha kigamboni miaka saba iliyopita.. Mda mwingine huwa tunaachana kila mtu anafanya mambo yake. lakin huwa tukionana hata kwa bahata mbaya lazima turudiane.
Hujaniona tuHongera sana....
najiombea nimpate kwenye hii thread ilishindikana basi hata kule kwenye kimasihara....😔
Asante
Ukimpata usisahau kutuadithia.Hongera sana....
najiombea nimpate kwenye hii thread ilishindikana basi hata kule kwenye kimasihara....😔
Ndoa kudumu au kutokudumu haina formula, kitu kidogo sana ambacho unakiona cha kawaida au hakina maana kwa mwenza wako kinaweza kusambaratisha ndoa yako.Jiulize kwa nini ndoa nying hazidumu ndo utajua watu wanakaa kwenye uchumba miakaaa wanazoeana kama kaka na dada hamna kipya
Hongera sana....
najiombea nimpate kwenye hii thread ilishindikana basi hata kule kwenye kimasihara....😔
Kuna ndoa nyingi sana zinazodumu ukiacha ku focus kwenye ndoa za bongo muvi na bongo fleva utaziona.Jiulize kwa nini ndoa nying hazidumu ndo utajua watu wanakaa kwenye uchumba miakaaa wanazoeana kama kaka na dada hamna kipya