Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Tulikutana kwenye kivuko cha kigamboni miaka saba iliyopita.. Mda mwingine huwa tunaachana kila mtu anafanya mambo yake. lakin huwa tukionana hata kwa bahata mbaya lazima turudiane.
 
Ingekua uamuzi wangu ningeendelea kukaa naye katika ndoa-mapenzi kwa muda usiopungua 5 year. Afu tukaja kufunga ndoa ya kiserikali au kanisani mbele ya safari
 
Back
Top Bottom