Hii sio sababu ya kusema ndio chanzo cha ndoa nyingi kutokudumu kwan ata mkiona mkiwa hamjazoeana kwan mtaenda kuishi kila mtu nyumba yake ili msizoeane?Jiulize kwa nini ndoa nying hazidumu ndo utajua watu wanakaa kwenye uchumba miakaaa wanazoeana kama kaka na dada hamna kipya
Hilo liliwezekana miaka ile mnaona wote bikra hamjui kitu. Sio sasa.Hata mkioana mtaachana mshaonjana sana hata huko honeymoon hamna kipya mshapeana style zote hadi za popo kanyea mbingu, hamza kafia ubalozin mshachambuana vuz moja moja hata hamnogi ...
Hahahah ndugu niliacha kuutembelea huo uzi , siyo ajabu unakutana na jina la mkeo/mpenzi wako ameliwa kimasihara.tulikutana kule kwa uzi wa kula kimasihara
Tatizo halipo kwenye "kuzoena" haupo sahihi hata kidogo..upendo wa kweli ahungalii mazoea..Jiulize kwa nini ndoa nying hazidumu ndo utajua watu wanakaa kwenye uchumba miakaaa wanazoeana kama kaka na dada hamna kipya
Njoo inbox mrembo ni muda wa kupata stara sasa.Hongera sana....
najiombea nimpate kwenye hii thread ikishindikana basi hata kule kwenye kimasihara....[emoji17]
Ni mke au ni girlfriend? maana mke mnaachanaje sasa halafu mnakutana mnarudiana, au hamuishi pamoja?Tulikutana kwenye kivuko cha kigamboni miaka saba iliyopita.. Mda mwingine huwa tunaachana kila mtu anafanya mambo yake. lakin huwa tukionana hata kwa bahata mbaya lazima turudiane.
Miaka 7 iliyopita nilikutana na huyu kipenzi changu ofisini kwao. Mungu atuzidishie upendo kwenye nyumba yetu, furaha na amani idumu milele.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aise utakuwa na roho mbaya ww si bureHata mkioana mtaachana mshaonjana sana hata huko honeymoon hamna kipya mshapeana style zote hadi za popo kanyea mbingu, hamza kafia ubalozin mshachambuana vuz moja moja hata hamnogi ...
Facebook imeunganisha wengi[emoji23][emoji119]
[emoji23]Casino
Aisee[emoji23]
Naona facebook inaupiga mwingi, inabidi nikaichungulie[emoji16]