Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Jiulize kwa nini ndoa nying hazidumu ndo utajua watu wanakaa kwenye uchumba miakaaa wanazoeana kama kaka na dada hamna kipya
Hii sio sababu ya kusema ndio chanzo cha ndoa nyingi kutokudumu kwan ata mkiona mkiwa hamjazoeana kwan mtaenda kuishi kila mtu nyumba yake ili msizoeane?
 
Hata mkioana mtaachana mshaonjana sana hata huko honeymoon hamna kipya mshapeana style zote hadi za popo kanyea mbingu, hamza kafia ubalozin mshachambuana vuz moja moja hata hamnogi ...
Hilo liliwezekana miaka ile mnaona wote bikra hamjui kitu. Sio sasa.
 
Jiulize kwa nini ndoa nying hazidumu ndo utajua watu wanakaa kwenye uchumba miakaaa wanazoeana kama kaka na dada hamna kipya
Tatizo halipo kwenye "kuzoena" haupo sahihi hata kidogo..upendo wa kweli ahungalii mazoea..

Kuna uwezekano mkubwa mbali na hawa kuwa wapenzi lakini tayari washakuwa marafiki wakubwa sana miaka 8 sio mchezo !
 
Tulikutana kwenye kivuko cha kigamboni miaka saba iliyopita.. Mda mwingine huwa tunaachana kila mtu anafanya mambo yake. lakin huwa tukionana hata kwa bahata mbaya lazima turudiane.
Ni mke au ni girlfriend? maana mke mnaachanaje sasa halafu mnakutana mnarudiana, au hamuishi pamoja?
 
Hata mkioana mtaachana mshaonjana sana hata huko honeymoon hamna kipya mshapeana style zote hadi za popo kanyea mbingu, hamza kafia ubalozin mshachambuana vuz moja moja hata hamnogi ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aise utakuwa na roho mbaya ww si bure
 
Back
Top Bottom