Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Ukiambiwa ukafunge harusi sehemu mliyokutana na mpenzi wako kwa mara ya kwanza, harusi yenu itafanyika wapi?
 
Kuna watu walikutana na wenza wao katika maeneo kama haya
1. Gulioni
2. Kwenye matamasha
3. Kanisani ama msikitini
4. Stendi ya basi
5. Kilingeni
6. ofisini
7. Kwenye kampeni za uchaguzi
8. JF
NK

Waliyajenga na leo hii ni wanandoa wenye familia zao.

Mie nilikutana naye kanisani tukayajenga tukawa mwili mmoja, na mwaka huu tutasherehekea anniversary ya robo karne ya ndoa yetu.

Wewe ulikutana naye wapi?
 
Nilikuwa mpangaji wao.
 
No 6.

ntashkuru daima kukutana na huyu kiumbe, went from a boy to a man!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…