Judithkaunda
Member
- Aug 21, 2022
- 90
- 231
Ukiambiwa ukafunge harusi sehemu mliyokutana na mpenzi wako kwa mara ya kwanza, harusi yenu itafanyika wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa huko chuo huko ni noma sana.Chuoni
Nilikuwa mpangaji wao.Kuna watu walikutana na wenza wao katika maeneo kama haya
1. Gulioni
2. Kwenye matamasha
3. Kanisani ama msikitini
4. Stendi ya basi
5. Kilingeni
6. ofisini
7. Kwenye kampeni za uchaguzi
8. JF
NK
Waliyajenga na leo hii ni wanandoa wenye familia zao.
Mie nilikutana naye kanisani tukayajenga tukawa mwili mmoja, na mwaka huu tutasherehekea anniversary ya robo karne ya ndoa yetu.
Wewe ulikutana naye wapi?
NK inawakilisha sehemu zote ambazo sijazitaja ikiwemo shuleni.Mbona hujaweka shuleni
We ni mvuvi bila shakaMwaloni
Ni mkeo huyo mkuu.Alikuwa mlezi wa mwanafunzi wangu... Nikawa namtuma mwanafunzi wangu akamwambie dada yake ni mzuri kesho yake nampanga jambo lingine siku tuliyoonana nikamla kimasihara mpaka now naishi nae kimasihara
Ulipunguziwa hata kodi bila shaka 🤣Nilikuwa mpangaji wao.
No 6.Kuna watu walikutana na wenza wao katika maeneo kama haya
1. Gulioni
2. Kwenye matamasha
3. Kanisani ama msikitini
4. Stendi ya basi
5. Kilingeni
6. ofisini
7. Kwenye kampeni za uchaguzi
8. JF
NK
Waliyajenga na leo hii ni wanandoa wenye familia zao.
Mie nilikutana naye kanisani tukayajenga tukawa mwili mmoja, na mwaka huu tutasherehekea anniversary ya robo karne ya ndoa yetu.
Wewe ulikutana naye wapi?
Aisee wewe!Msibani
Hongera manNo 6.
ntashkuru daima kukutana na huyu kiumbe, went from a boy to a man!
Hahahaaa huko chuo huko ni noma sana.