Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Nilimkuta nje ya duka lao anachambua matembele. Nikaacha kilicho nipeleka, nikaanza kumsaidia.

Kupiga piga story za kanisani kwao. Nikamuuliza kama wana group la vijana nikampa namba aniunge.
Cha ajabu group sikuungwa ikawa mwendo wa kuchart tu me nayeye.
Tumekuja shtuka tunaitana babe. Na ghetto anakuja kufanya usafi.πŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚
 
malizia na anafua na kupika tembele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…