Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

ninawasiwasi na wewe unaweza kua mke mwenza
si bure mineno yote hiyo kukutoka
sasa u better back off
 
Mimi nilikutana naye kwenye kilabu cha pombe za asili.Nilimkuta anabugia mbege yake polepole.Basi,nikamuomba tuketi wote.Gradually, tukaanza mazungumzo ya hapa na pale kuhusu maisha.Nikaagiza nyama choma ikitusindikiza na mbege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…