Kwa wale wa zoefu wa safari za mabasi tutakua tunaijua vizuri Milima hii Kitonga, Sekenke, Nyoka, Nyangoro, kuwa ni noma yaani mkifika na basi kabla ya kuanza kuupanda au kushuka lazima mpige sala kwanza halafu abiria wanashuka wote na kumwacha dereva peke yake aangaike na mlima.
Swali kati ya milima hii upi una mteremko kuliko yote?
Swali kati ya milima hii upi una mteremko kuliko yote?