Mlima upi ni noma kwa mteremko mkali kwa magari kati ya hii hapa Sekenke,Kitonga,Nyoka, Nyangoro?

Mlima upi ni noma kwa mteremko mkali kwa magari kati ya hii hapa Sekenke,Kitonga,Nyoka, Nyangoro?

Mlima wa Chimala kuelekea Matamba kama unaenda mbuga ya Kitulo.
Pia Kondoa Babati katikati kuna mlima unaitwa Kwadino ni noma sana.
Bytheway Sekenke is no more
 
mmesahau kutoka njombe kwenra songea.mnashukaa masaa mangapi?
 
Back
Top Bottom