kwa wale wa zoefu wa safari za mabasi tutakua tunaijua vizuri milima hii KITONGA, SEKENKE, MLIMA NYOKA, MLIMA NYANGORO, kuwa ni noma yaani mkifika na basi kabla ya kuanza kuupanda au kushuka lazima mpige sala kwanza halafu abiria wanashuka wote na kumwacha dereva peke yake aangaike na mlima.Swali kati ya milima hii upi ni nouma kuliko yote?
Mbona Kawetere hujaitaja ambapo ndo the highest point of all trank roads in Tanzania
kaka kitonga ni noma, ila nyangoro napo ni noma sana...,
Mlima Kaburi sumbawanga vijijini sijapata wahi ona
Mlima kilimanjaro ndiyo mrefu africa. Yaani nikipita na gari huwa ninafumba macho na kuziba masikio. Yesu wangu!
kawetere huko karibu kona ya mkoa,chunya,gari ikidondoka inasemwa inaweza sererekea bonde la usangu huko!
Kwa wale wa zoefu wa safari za mabasi tutakua tunaijua vizuri Milima hii Kitonga, Sekenke, Nyoka, Nyangoro, kuwa ni noma yaani mkifika na basi kabla ya kuanza kuupanda au kushuka lazima mpige sala kwanza halafu abiria wanashuka wote na kumwacha dereva peke yake aangaike na mlima.
Swali kati ya milima hii upi una mteremko kuliko yote?
Kuna mlima MALANJA NGORONGORO!Kwa wale wa zoefu wa safari za mabasi tutakua tunaijua vizuri Milima hii Kitonga, Sekenke, Nyoka, Nyangoro, kuwa ni noma yaani mkifika na basi kabla ya kuanza kuupanda au kushuka lazima mpige sala kwanza halafu abiria wanashuka wote na kumwacha dereva peke yake aangaike na mlima.
Swali kati ya milima hii upi una mteremko kuliko yote?