Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama yule mlinzi leo yupo tunaomba picha yake , Kavaa tena lile Juba lake l madoa madoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Samia ametoo vito vyombo vya habari vifanye responsible journalism, kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa letu
P
Mambo ya albino yamerudi tena ehhSasa Rais Samia anahutubia.
Ameanza kwa kumlilia Balozi Ferdinand Ruhinda na kifo cha mtoto albino, ametusimamisha dakika moja kuwalilia.
P
Media ya Tanzania ina changamoto ya specialization, ukisema waandishi wa habari inamaanisha ni print media hata sheria ya magazeti yaKaka Paskali kwanini TEF haina uwakilishi sawia wa Editors from across all media sect! Kwanini leadership ya TEF iko biased kwenye print media zaidi!
Kwa uelewa wangu, Mwandishi wa Habari ni Mwandishi wa Habari; hakuna kitu kama utangazaji vs uandishi wa habari wa magazeti etc, na ndiyo maana hakuna shahada ya Utangazaji per se hapa Tanzania. Pia, sikubaliani kwamba Sheria ya Huduma za Habari inawahusu print media journalists pekee, labda kama sikukuelewa bro.Media ya Tanzania ina changamoto ya specialization, ukisema waandishi wa habari inamaanisha ni print media hata sheria ya magazeti ya
1976 ilihusu print media
only, sheria mpya ya habari ni ya print media only! idara ya Habari Maelezo, ina deal na print media only, halafu waandishi wa electronic wanaitwa watangazaji, wana sheria yao, sheria yautangazaji iko chini ya TCRA, siku zijazo tutaboresha TEF,mwenyekiti akiwa print, makamo mwenyekiti awe from electronic media.
P
Ni kweli na hili ni tatizo, ni udhaifu, wenzetu wako more specialized, broadcast journalist, new media, print media, photo journalist, PR, etc.Kwa uelewa wangu, Mwandishi wa Habari ni Mwandishi wa Habari; hakuna kitu kama utangazaji vs uandishi wa habari wa magazeti etc, na ndiyo maana hakuna shahada ya Utangazaji per se hapa Tanzania.
Sheria inawahusu media wote, lakini application ni for print only, chini ya Maelezo. Broadcast ni sheria nyingine chini ya TCRAPia, sikubaliani kwamba Sheria ya Huduma za Habari inawahusu print media journalists pekee, labda kama sikukuelewa bro.
Ni kweli lakini application bado ni Maelezo na ni print only, broadcast na online ni TCRA.Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 inagusa vyombo vyote vya habari na wataalamu wake bila kujali wanafanya kazi katika vipengele vitatu vikuu, yaani vyombo vya habari vya magazeti, vya elektroniki, au vinginevyo.
Sheria ulizozitaja, kama vile EPOCA ya mwaka 2020 na Sheria ya Huduma za Habari ya 2016, zinawahusu waandishi wa habari wote kutokana na uwepo wa muunganiko wa vyombo vya habari, ambao unawalazimu kuwa na uwepo katika majukwaa yote.
TEF ni NGO, sio statutory body.Sasa, kwa nini TEF, kwa miaka mingi, imekuwa chombo kinachotawaliwa zaidi na wahariri wa vyombo vya uchapishaji ambao wamejinyakulia uongozi wa chombo hiki kinachosemekana kuwasimamia/kuwawakilisha waandishi wote wa habari Tanzania?
Uanachama wa TEF ni uanachama wa hiari, mtu unaomba kujiunga.Mbona majority ya Editors wa Electronic media nchini hawamo humo TEF (Zaidi ya editors wa vituo vya redio 230 plus vituo vya TV 50 naa-hivi vyombo almost 300 editors wake ni members wa TEF!? na lini walikuwa viongozi wa juu wa TEF)...Halafu TEF mbona viongozi wake huwa ni walewale tu!
Uongozi wa TEF ni kwa kuomba, kama hawaombi, watachaguliwa walio ombaHatuoni wahariri kutoka redio za mikoani au hata za kitaifa wakishika nafasi za juu katika TEF.
Wako huru kuanzisha vyama vyao, there is no limit, kama vyama vya siasa.Kwa nini basi msikipachike jina TEF kuwa chama cha wahariri wa vyombo vya habari vya uchapishaji pekee!?.... ili wahariri wa vyombo vya utangazaji na mtandaoni nao waweze kuanzisha vyama vyao vya wahariri wao?
Hili ni tatizo...Binafsi kama mdau wa habari na mfuatiliaji wa tasnia yenu pendwa bado sijaridhika na mfumo wa vyama vya waandishi wa habari Tanzania ambavyo havionekani kuwakilisha maslahi ya waandishi wote. Vyama ni vingi hakuna mwamvuli wa chama kimoja chenye nguvu cha journalists, why!?
TLS ni statutory entityMnatakiwa kuwa na vyama ambavyo vinajumuisha kila mmoja. Jifunzeni TLS nk
Hakuna yeyote aliyetaka kujiunga TEF akakataliwaKwa nini tusiamini kwamba baadhi ya vyama hivi ni kichaka cha baadhi ya waandishi wa zamani kuchuma maslahi binafsi na hamtaki kuongeza wanachama zaidi?
Ni kweli, kwa kuanzia tunapigania sheria moja chini ya taasisi moja.Waandishi wanadhibitiwa na mamlaka mbili za udhibiti ambazo ni Idara ya Habari Maelezo na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Ikiwa kweli TEF ina nia ya kuleta mabadiliko katika uandishi wa habari Tanzania, basi inapaswa kuwa chombo kinachowaleta pamoja wahariri wote, iwe ni wa magazeti, redio, televisheni, au mitandaoni kwa kupitia hizo Regulatory bodies mbili zinazowasimamia waandishi wote Tanzania...Maelezo akisimamia vyombo vya machapisho na TCRA akisimamia vyombo vya habari vya mtandaoni na elektroniki ongeeni nao hawa muone mnawaunganisha vipi waandishi wa Tanzania....You guys are so divided, mkipona hapo waandishi wa habari mtajiongezea tija sana...hivi sasa kila Mwandishi kivyake. N'yadikwa
Ufafanuzi mzuri, umeweka madini kwa elimu ya wote. Kama TEF ni NGO basi ijitahidi kusimamia misingi ya NGO maana apparently wanaoperate as if ni TLS. Wasijivike u-statutory ingali wao ni mere NGONi kweli na hili ni tatizo, ni udhaifu, wenzetu wako more specialized, broadcast journalist, new media, print media, photo journalist, PR, etc.
Sheria inawahusu media wote, lakini application ni for print only, chini ya Maelezo. Broadcast ni sheria nyingine chini ya TCRA
Ni kweli lakini application bado ni Maelezo na ni print only, broadcast na online ni TCRA.
TEF ni NGO, sio statutory body.
Uanachama wa TEF ni uanachama wa hiari, mtu unaomba kujiunga.
Uongozi wa TEF ni kwa kuomba, kama hawaombi, watachaguliwa walio omba
Wako huru kuanzisha vyama vyao, there is no limit, kama vyama vya siasa.
Hili ni tatizo...
TLS ni statutory entity
Hakuna yeyote aliyetaka kujiunga TEF akakataliwa
Ni kweli, kwa kuanzia tunapigania sheria moja chini ya taasisi moja.
P