Mlinzi Suma JKT ajiua kwa kujipiga risasi shingoni

Uko sahihi kabisaa. Huu mfumo wa kila mtu na lwake ni mbaya. Siku hizi hata kutembeleana imekuwa changamoto. Mambo mengi mnamaliza ktk simu. Na hata mkikutana aiyenacho hathaminiki. Inapelekea kila kuweka nguvu kutafuta pesa ili apate furaha kwa sababu maishabya sasa bila pesa huna furaha na hupewi furaha na yeyote.
Hivyo, mtu akipitia changamoto hawezi sema kwa sababu hawezi kuwaambia changamoto watu anaoamini wanadharau. Hivyo, huamua kujitoa uhai.b
 
Nilikutana nao msimbazi B hapo kariakoo. Tuko katika kuwai magari. Foleni ni kubwa. Unampa tiketi anakata anaweka ktk dustbin au unaenda nayo. Msongamano ni mkubwa nimetoka kulipa nikaona kwa kuwa anaweka ktk dustbin basi ni rahisishe zoezi. Nikafika pale, ile nampa kabla hajapokea ikiwa nusu mkononi mwake na nusu kwangu nikaifanya ichanike. Aisee...yule dogo akasimama amekasisrika. Akasema serikali imeniweka hapa kwa ajili ya kuchana na wewe unafanya kazi yangu hapa hupiti.

Nikamwambia hiyo tiketi haina makosa tuangalie tarehe. Akasema inshu siyo makosa ya tiketi. Inshu unachanaje tiketi na Mimi Niko hapa. Nikaa ktk foleni ktk lane moja watu hawapiti. Ikawa utata. Suma wakaongezeka. Wakaja wawili wengine. Ikataka kuwa vurugu. Nikamwambia yule jamaa kuwa ktk umri mdogo wa ujana kama vile kwa nini ana complicate mambo na sisi ni vijana tunaweza kukutana sehemu yyte. Ohhh...ni kawa nimemwagia moto petrol. Mwishowe nikalipa 650 tena ili kuingia.

Inshort nilikuwa na makosa. Sikuruhusiwa kuchana Mimi ila jinsi walivyorespond sasa naelewa kwanini.
 
Mkuu tema mate chini.

Mungu mwenyezi mtukufu[emoji1488]

Hajatuleta dunia tujidhulumu nafsi zetu.

Tuswali sana na kuomba Rehma kwake Mtukufu Mwenyezi[emoji1488]

Aliyeidhulumu nafsi analake la kujibu, kikubwa kuwa karibu na Mwenyezi Mungu.

Haijalishi unapitia hali gani au madhila yepi,

“AMESEMA MOLA MWENYEZI, NIOMBENI NAMI NITAWAJIBU”
 
Duh wakorofi sema Nini kwa saikolojia ya kijeshi ya kuitikia ndio kwa kila Jambo, kuwa kinyume na wanavyokuamuru hupata hisia za kudharaulika.
Hivyo majibu yao huwa Ni ubabe hasa wakihisi watakushindwa kimwili watakutishia silaha.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ukumbusho mzuri kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…