Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaweka vijana na mabinti wa hovyo sana kazini. Mara wapige watoto wa watu, walete ubabe kwa wateja mara wajiuwe.Hii kampuni ifutwe tu
Shida ni mtu anasoma ili kupata maisha mazuri then yanamkataa halafu analazimika kufanya kazi ya kujishusha na mshahara mdogo kama waiter, mfagia guest, mpishi wa bar au mlinzi. Hii huwa inamfanya mtu kupata mlipuko wa fedheha anapoona kijana mwenzake amenunua gari nzuri ambayo yeye alitamania kumiliki siku moja, au kuona mwanamke mzuri ambaye alitamani kupata, au kutamani kuishi nyumba nzuri au kupata chakula kizuri.Wanaona watu wnaingia na mandinga makali, wanakula vizuri mara wawaletee nyodo au kuwatuma, na ukiangalia mtu anakaelimu kake, lazima apate depression. Walinzi wanatakiwa wale waliokubaliana na hali ya maisha au polisi wenye maisha yao.
Ushauri bandidu sana huu, sasa hayo majeneza yanakuwa kama maonyesho au wanaingia kulala ndani kabisa?Mbeya hii ni case pili ndani ya mwezi mmoja na nusu. Kwamaana hiyo takribani walinzi wa suma JKT 8 wanajiua kwa kujipiga risasi katika mwaka mzima. Wekeni vitengo vya psychology and counseling viwe active huko makambini na kabla ya kuripoti kazini. Vilevile wizara ya ulinzi na mambo ya ndani itengeneze majeneza ambayo hawa watu wa security wawe wanawekwa kwa saa moja kila week wawe wanajitafakari.
Tumia clues:Short gun ni silaha ya hovyo!
huyo kijana huenda kalilalia bahati mbaya tu na kummaliza!
waliokuwa wa kwanza kumuona watueleze alivyokutwa na silaha, kama kajishoot inafahamika, na kama bahati mbaya yaweza fahamika pia
Maisha ya sasa yanastress sana. Mtu asipokuwa na safe zone yake na watu wake wa kumpa social support na security muda wowote kwa tatizo lolote mtu anapokosa msaada ndio ile unasikia kafanya mambo ya ajabu.Kwa kweli kwa hali ya maisha ya ubepari kama huna Mungu ndani yako au mental na psychological calmness unaweza kufanya vitu ambavyo watu watakuona hauna akili kumbe mwisho wako wa kufikiri ndipo ulipoishia.
Unaweza in au kusikia watu mliokuwa nao shuleni au kambini washatoboa. Au unaenda maeneo kama Mlimani ukiona jinsi vijana au watu wanavyospend unaweza kujisonya sana.
Ktk nchi za Ulaya na US suicide na kuuana cases ni nyingi koz ubepari umekomaa. Sitamani tufike huko lakini kwa hali ilivyo ni kama vile safari imekaribia.
Zamani mtu akijinyonga inakuwa taabu kila mtaa utajua au kusimulia kwa wikii na mawiki ila Sasa imekuwa kawaida na sababu ni nyingi kuanzia maisha, mapenzi, kazi, kukataliwa, Kukosa tumaini, Kukosa Mali, kudharauriwa, masomo, kubakwa, kushindwa kuhimili tatizo nk.
Hivi karibu kuna kijana wa hapa Stend ya Magufuri wale wanaoshika chati za magari naye kajinyonga kwa sababu ya mapenzi. Mke wake alikuwa anamsumbua jamaa sana.
Haina safety kwani br.Short gun ni silaha ya hovyo!
huyo kijana huenda kalilalia bahati mbaya tu na kummaliza!
waliokuwa wa kwanza kumuona watueleze alivyokutwa na silaha, kama kajishoot inafahamika, na kama bahati mbaya yaweza fahamika pia
inawezekana kajimalizaTumia clues:
1. Amejifungia kwa ndani it means alitaka privacy kufanya alilofanya.
2. Risasi alizishika mkononi it means alilisha risasi moja zingine alikuwa nazo ili ajimalize.
3. Kajiweka akilenga eneo la kichwa it means alijua anajimaliza.
Na malipo sasa kiduchuuu, that's why most of them wapo very stressed up stairs,Hii ni kampuni ya ulinzi ipo chini ya Jeshi ila walinzi wake wengi hujiona wao ni wanajeshi.
Mkuu ninachokijua mimi na taarifa iliyovuma sana ni ile ya Roma huko Vatican city, kuna beggar mmoja kafa kwa baridi na alikua anapatiwa msaada na kanisa, msaada wa chakula na mavazi ila sio malazi ila hakua na pa kulala (malazi) I think ni Jana au Juzi amekutwa amekufa maana hana pa kulala analala tu mitaani so kapigwa na baridi hadi kafa,Dogo unafer wapi ? hujawahi kusikia, watu wanakufa kwa njaa? embu fwatilia mambo
Suma hit ilikuwa zamani siku hizi wanaokota watu mabarabarani washachoka na maisha unategemea mini?Sumajkt hamna kitu, wangejikita jeshini.. Hata kwenye miladi mingi jamaa wana fail sana
sio issue, all in all SemperFI ukumbuke kutuletea mrejesho
Kwa kosa lipi?Hii kampuni ifutwe tu
Kumbe uliongezwa?Basi,wasijiue na kuyatoroka maisha.Hakuna mshahara huo suma
Kuna sifuri moja imesahaulika.Aseee![emoji848]
Yani akoki bunduki akiwa usingizini?..Labda tusihitimishe kuwa kakusudia kujiua?
Huenda kajifungia apumzike akasinzia akafyatua triger bila kukusudia...yote yawezekana.
Pumziko La Amani Apate Young blood,gone to soon..