Mlinzi Suma JKT ajiua kwa kujipiga risasi shingoni

Wazee hili laifu sio poa hasa ukiwa mzaliwa wa kwanza...kwa kifupi mimi pia napita hardtime sana

Sina kazi (jobless)

Kodi yangu inaisha December (kichwa kinauma machozi yanatoka)

Umri umesogea miaka 26 mates wenzangu wengi wana maisha na darasani nilikuwa bora kuliko wao.nimeomba makazi ya majeshi yote mwaka jana mpka nimekataa tamaa

Kula yangu mzozo,unaumwa ila unapona kwa nguvu za Mungu...

Kushinda week mfukoni huna mia ni kawaida

Kwa kifupi depression is real ukiona unaaamka unakula unavaa mshukuru Mungu

Mungu anisaidie nivuke salama nakiri sometimes najifikiriaga sana kujipoteza(kujitoa uhai) sema namuonea huruma mama na madogo zangu.
Pole sana haupo peke yako pambana mzee utapata zaid na kuwapita wote ukiona umeshindwa kabisaaaa usijiue nenda katafute kwa njia za giza
 
Wazee hili laifu sio poa hasa ukiwa mzaliwa wa kwanza...kwa kifupi mimi pia napita hardtime sana

Sina kazi (jobless)

Kodi yangu inaisha December (kichwa kinauma machozi yanatoka)

Umri umesogea miaka 26 mates wenzangu wengi wana maisha na darasani nilikuwa bora kuliko wao.nimeomba makazi ya majeshi yote mwaka jana mpka nimekataa tamaa

Kula yangu mzozo,unaumwa ila unapona kwa nguvu za Mungu...

Kushinda week mfukoni huna mia ni kawaida

Kwa kifupi depression is real ukiona unaaamka unakula unavaa mshukuru Mungu

Mungu anisaidie nivuke salama nakiri sometimes najifikiriaga sana kujipoteza(kujitoa uhai) sema namuonea huruma mama na madogo zangu.
Aseeee !!!![emoji848][emoji848]Sad reality of today life...Msongo wa mawazo unachangiwa na mambo mengi sana... jitahidi sana kutafuta njia ya kuukimbia huo msongo ...ni hatari sana kuliko kawaida.
 
Kuna siku nilienda benk fulani mkoa wa Kilimanjaro,ile napaki tu jamaa akanifata chap na silaha yake,moyoni nikasema au nimepaki vibaya?basi akasema aisee bro sijala kitu ukitoka uniangalie.nikamwambia poa.kwanza jamaa kimuonekano alionekana mwenye stress na mlevi,sasa kwa tukio hili napata picha
 
Ndiyo afunge mlango?
Huyu inaonekana alienda kulala mule ndani, ktk 1 2 3, huenda aliilalia kwa bahati mbaya au alijisahau akagusa striger risas ikiwa chemba. siamin kwamba alijiua mwenyewe japo nalo linawezekana
 
Wazee hili laifu sio poa hasa ukiwa mzaliwa wa kwanza...kwa kifupi mimi pia napita hardtime sana

Sina kazi (jobless)

Kodi yangu inaisha December (kichwa kinauma machozi yanatoka)

Umri umesogea miaka 26 mates wenzangu wengi wana maisha na darasani nilikuwa bora kuliko wao.nimeomba makazi ya majeshi yote mwaka jana mpka nimekataa tamaa

Kula yangu mzozo,unaumwa ila unapona kwa nguvu za Mungu...

Kushinda week mfukoni huna mia ni kawaida

Kwa kifupi depression is real ukiona unaaamka unakula unavaa mshukuru Mungu

Mungu anisaidie nivuke salama nakiri sometimes najifikiriaga sana kujipoteza(kujitoa uhai) sema namuonea huruma mama na madogo zangu.

Pole mkuu
 
Kuna ATM nilienda kutoa pesa ilikuwa muda wa mchana, wakati naondoka mmoja wa Askari Polisi aliyekuwa lindo na silaha ambapo dirisha lao linaangaliana na mashine za ATM akaniita akaniomba pesa, nilicheka kwa usalama wangu nikampa 10,000 nikaondoka nikajisemea sitokaa niende tena kwenye hiyo ATM kutoa pesa, nitakwenda kwwnye atm zingine.
kwanini ulicheka ?
 
Back
Top Bottom