Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
wapi alipokulaani sasa ?Ilikuwa 2012 nikiwa kidato cha tano katika shule moja ya serikali hapa nchini. Ile shule ilikuwa ya boarding. Siku moja wakati natoka kwenye kipindi cha dini saa 2 usiku nilipopita getini na wenzangu 2 tukielekea mabwenini nikamuuliza mlinzi maswali ambayo yalimkwaza. Moja ya maswali hayo nilimuuliza analipwa sh.ngapi?
Aisee dunia duara, nami sasa ni mlinzi. Naweza kumtafuta yule mtu nimwombe msamaha. Sina hali ngumu sana ya maisha ila naichukia sana hii kazi. Nalipwa kama 800k hivi, nimeajiriwa permanent na taasisi moja hivi ya serikali tangu 2015.
Mwaka huu namaliza shahada yangu ya kwanza but daaah naona hii kazi inaendelea kuniganda. Wife na ndugu zangu wengi hawajui kuwa mimi ni mlinzi.
Nimejenga kijumba kidogo kwa mkopo, yaani daaah naificha sana title yangu.
Wewe acha tu ndugu
Nalinda korosho zisiharibike kwa unyevuMkuu unamlinda Raisi au
Unalinda ilani ya Chama?
Mbona fedha ya kawaida tu hiyo.Mlinzi gani unalipwa laki Nane
Unalinda kwa Computer Nini ??
I'm on that good kush and alcohol
Yes. Usiku nalinda zaidi ya mchana .Unalinda usiku na mchana!!?
Mbona fedha ya kawaida tu hiyo.
Hiyo niliyotaja ni take home ambayo wameniwekea some benefits.
Basic iko chini ya hapo
Sasa mkeo unamuaga vp hayo malindo ya usiku!?Yes. Usiku nalinda zaidi ya mchana .
But si kila siku kwamba nipo lindoni
Labda hujanielewa.Acha kutudanganya Mkuu Hakuna mlinzi anaelipwa zaidi ya Laki nane kama unavyosema [emoji38][emoji38][emoji38]
Labda utuambie unalinda nini ??
I'm on that good kush and alcohol
Unalinda ukumbi wa bungeLabda hujanielewa.
Nimesema mshahara uko chini ya laki nane but nikikusanya na malipo mengine inakuja hiyo 800k na visenti kidogo.
Sema tu salary slip hazionyeshi title ningekutumia pm uione.
Muulize mtu wa hazina yeyote atakuambia.
Kuna wazee hapa walinzi wanakula ndefu zaidi ya hapo.
Pole aisee my fellow guardKila mtu ni mlinzi katika hali moja au nyingine. Mie nina mifugo nyumbani kwangu yaani mbwa akibweka tu naangalia CCTV camera kujiridhisha kama hamna wezi. Yaani kila siku lazima niamke mara nne au tano kuangalia picha la nje
Imekuwa mateso sana kwangu. Nalala usingizi wa mang'amung'amu maana nilishawahi kuibiwa broilers kibao niakaona isiwe tabu niweke CCTV. Ni mateso