General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,317
- 23,192
Daaaahhh, inawezekana kabisa. Mke wangu nimemdanganya kwa title nyingine, anavyoona life linasonga hapati mashaka.
Kama moyoni mwake anahisi basi hana uhakika kwa 100%.
Wewe ni Auxiliary police??