Nadhani
Next Man na
k-bee reference yao ni hawa walinzi wa security firms ambao ni kweli mishahara yao midogo sana na ndio maana wanakubishia!
Back in the days nilikuwa nafanya taasisi moja ya fedha kwahiyo nina uzoefu na mishahara ya kada mbalimbali! Na pale nilienda nikiwa na digrii yangu!
Pamoja na yote hayo, analipwa Mlinzi wa TANESCO ambae hata kuandika alikuwa hajui ilikuwa ya maana hasa! In short, ukichukua mshahara wake ukachanganya na marupurupu, mimi na wenzangu na digrii zetu tulikuwa hatumfikii yule mzee ambae hata kuandika hajui!
Na unakuta miezi mingine anawapiga gap la haja hasa...
Kwenye security firms ndiko wanaua lakini kama umeajiriwa kwenye hizi taasisi kubwa, ni kweli ukichanganya na ma-night plus benefits zingine, watu huwa wanatoka na mpunga wa kutosha!