Mlinzi wa shule alinilaani, nami nimekuwa mlinzi

Babu yangu aliniambiaga kila fani mtu huzaliwa nayo.....Nmegundua umezaliwa na fani ya uongo.....Mlinzi 800k kwa mwezi acha kamba...Me naprofishono yangu ya sayans napiga serkalin mwka wa tano sijafikisha hiyo....!
bangi ya wapi hiyo mjomba umevuta
 
Hebu kaa kimya ndugu.
Usikariri, hiyo professional yako inategemea umeajiriwa kwa level gani na upo ofisi gani.
Yawezekana huko ukilipwa mshahara imetoka, huku walinzi tuna overtime, night allowance na rent allowance.
Ila haina haja ya kubishana, just nilikuwa nashare my short story. Hata usipoamini hunipunguzii wala kuniongezea kitu
 
Babu yangu aliniambiaga kila fani mtu huzaliwa nayo.....Nmegundua umezaliwa na fani ya uongo.....Mlinzi 800k kwa mwezi acha kamba...Me naprofishono yangu ya sayans napiga serkalin mwka wa tano sijafikisha hiyo....!
bangi ya wapi hiyo mjomba umevuta
Sayans ipi? Labda mwalimu

komesha korona
 
Babu yangu aliniambiaga kila fani mtu huzaliwa nayo.....Nmegundua umezaliwa na fani ya uongo.....Mlinzi 800k kwa mwezi acha kamba...Me naprofishono yangu ya sayans napiga serkalin mwka wa tano sijafikisha hiyo....!
bangi ya wapi hiyo mjomba umevuta
Mkuu hakuna askari polisi, magereza au jeshi anayefikisha 800k ukichanganya mshahara na ile posho yao?
 
utakuwa mlinzi wa auxiliary police wa vyuo vikuu usijali maliza degree yako unaweza ukabadilisha fani
 
Kwanini umeweka chumvi kwenye chai?
Unawezaje kufanya kazi asiyoijua mkeo?
Kawadanganye watoto wenzio!

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaahhh, inawezekana kabisa. Mke wangu nimemdanganya kwa title nyingine, anavyoona life linasonga hapati mashaka.
Kama moyoni mwake anahisi basi hana uhakika kwa 100%.
 
Hahahahh nimekuelewa Sasa Mkuu na hata huo ulinzi unaozungumzia nimeupata
Nenda tuu kwa mlinzi wako wa shule umwambie we ni mwenzako. Alaf umtoe toe mtonyo kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…