Mlinzi wa shule alinilaani, nami nimekuwa mlinzi

Nimeishi familia ya bandari... unadhani kwanini sikuwataja bandari na nimewataja TANESCO?! Jibu ni hili: Bandari walikuwa wanatumia askari na sio walinzi... mwanzoni walikuwa wanatumia askari wa kawaida (wakiitwa askari wa bandari), na baadae waakawa wanatumia askari wao wenyewe tukiwaita kwa utani Askari Katuni!!

Hali kadhalika TANAPA wanatumia askari! Kinyume chake, TANESCO walikuwa wanatumia walinzi!

All in all, hata mleta mada amesema wazi kwamba yeye ni mlinzi kwenye taasisi, na kwahiyo mjadala ni kuhusu walinzi kwenye taasisi na sio hawa wanaokodishwa kutoka security firms.
 
maana kama waliongea kwa ustaharabu alafu akauliza hilo swali mbona fresh tu kujibiwa ? kama yeye alivyosema mshahara wake bila sisi kutaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwanini ila watu wengi husema eti mshahara wa mtu ni siri yake na angalau wale ambao atataka wajue ila siyo kila mtu
 
kweli poti
 
Ww ulifanya usaili wa police DPA mwaka 2015, barua yako ya maombi uliandika ukasaini kabisa pale chini, "WAKO MTIIFU" leo hii unawananga police, korosho ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…