Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji hawaiwezi

Mkali wenu labda aje na mswaki akutekenye ndo utacheka.......

Iyo list imepita kabisa japo nao wana mashabiki wanaoeka bundle kwa ajili yao.........
 
Unakula kwake no need vetting.[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Idrisa na Mkali Wenu ni BASHITE kabisa kwenye kuchekesha BURE kabisaaa
 
List iko sawa ila muondoe huyo Kiziwi Blackpass mi naona anajua
 
Ila wakali wa vichekesho bongo kuna joti,majuto,braza K,Senga,pembe,bambo,mtanga,Kingwendu.....mpoki kwa mbaaliii na wakuvanga.

hapo kwa Mpoki um3kosea, nadhan huyo ndo anaongoza kwa kutojua kuchekesha, atafute tu shughuli nyingine!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…