Tena nguvu kubwa mno,zaidi ya ile inayotumiwa na Geshi la PolishAnatumia nguvu
Huyu ndo hajui kabisaMc pilipili vipi?
Kingwendu hapana, naye nikimuonaga nahanisha chanelIla wakali wa vichekesho bongo kuna joti,majuto,braza K,Senga,pembe,bambo,mtanga,Kingwendu.....mpoki kwa mbaaliii na wakuvanga.
Pussy sio kalio ni keivyovyote itakavyoandikwa, lakini maana halisi ya black pussy ni "kalio jeusi", yeye mwenyewe ni mweusi automatically ana makalio meusi...hahaha, alafu anajitaja hilo jina.
Bwakila =mkude Simba = kitaleNawapenda akina Bwakila, Stani Bakora na Mkude Simba... wanachekesha
[Emoji23][emoji23][Emoji125][emoji125][emoji125]Ongeza na Magufuli hapo
huyu pilipili hata u mc hawez.matako xn mgogo yule.Ambao hawana kitu hapo ni mkali wenu na mc pilipili... Hao afadhari wakageme ulanzi kwao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ongeza na Magufuli hapo
Yaani uyo Ringo + Joti + Mpoki ndo ninaowakubali katika comedyRingo na Tin white ndo komedian Tanzania.
Majuto ndio namba moja wa miaka yoteIla wakali wa vichekesho bongo kuna joti,majuto,braza K,Senga,pembe,bambo,mtanga,Kingwendu.....mpoki kwa mbaaliii na wakuvanga.
Nakuunga mkono kabisa,jamani ananiuzi jamaniEbitoke ilibidi awe wakwanza ktk list hiyo...
Umemsahau mkwereIla wakali wa vichekesho bongo kuna joti,majuto,braza K,Senga,pembe,bambo,mtanga,Kingwendu.....mpoki kwa mbaaliii na wakuvanga.