Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji hawaiwezi

uliwao wataja hao hata siku moja sijawahi kucheka.
 
Mimi Anaenichekesha ni Masanja,joti,mama Emma kiasi
 
Aisee mkali wenu" ni anatumia nguvu nyingi sanah,hadi mishipa ya shingo na uso inasimama.
Kuna watu humu ilibidi wawe kwenye list ya wachekeshaji bora comment zao zinaniacha hoi [emoji23] [emoji23]
 
Comedy ambao naona wako poa,mpoki,sumaku ,na yule Babu aliekuwaga futuhi mwanzoni
 
Ila kinyambe, senga, braza kwa na Mama Ima(wa kuvanga) nitaendelea kuwakubali
 
Kuna mtangazaji mmoja wa Clouds anaitwa sijui nani, B Dozenakama sijakosea. Huyu hana kitu kabisa.
Acha chuki binafsi mkuu...B DOZEN huyu anaeweza kuwa mtanfazi bora kabisa na anajitambua..hata maswali anayouliza sijaona anae weza kuliza kama yeye...
 
Achaa kiroho cha Kwanini Mc Pilipili anajua sema tu anarudia Vichekesho ndo tatzo.. Ilaa yupo poaa..!! Wengne hawa nadhani wanajua kuchekesha Instagram tuu... Stand up comedy waachie CHURCHILL WA KENYAA AISEEE...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]ILEE CREW MWISHO
 
Yaaaani hapo hata sifahamu mmoja! Mc Pili pili anaongea sana ila hajui kuchekesha.

When it comes to comedy mi mlevi wa Churchill Show, ndugu zetu Wakenya wanaweza
 
Aisee...
Umetumia Dictionary gani Chief..!?
Wasanii wetu wanajiita majina yasiyokuwa na maadili. Pussy ni uke kule ambako uume huingia pamoja na mashavu yake ya nje (ule mvimbo kama wa kitumbua)

Hivyo black pussy ni uke mweusi.

That means (k**ma nyeusi)

Halafu hata akina Juliana Shonza hawajamfungia wala kumwambia abadili Jina. Pengine nao hawajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…