Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji hawaiwezi

kama naiona vile hio kyuma ilivonyeusi
 
evelyn kweli umeiona ?
serious, kwenye ile clip ina kale kakatuni ka kijani
Jaymond kavaa khanga sijui hakua na boxa sijui ilipita kwa nje ila inaonekana, bahati yake tu hana kibamia angejitia aibu, akaishia tu kusifiwa lile dude la kijeshi ila sijui Kwanini alifanya vile
 
Hakuna aliye wahi nichekesha hapo.. labla Lema
 
serious, kwenye ile clip ina kale kakatuni ka kijani
Jaymond kavaa khanga sijui hakua na boxa sijui ilipita kwa nje ila inaonekana, bahati yake tu hana kibamia angejitia aibu, akaishia tu kusifiwa lile dude la kijeshi ila sijui Kwanini alifanya vile
ok vizuri
 
BONGO COMEDY YA KUGANDAMIZIA
 
Uko sahihi mkuu. Wasanii wengi hatupendi kupata elimu ya Sanaa. Ukiwa unapiga story na washkaji kijiweni wakacheka unajiona na wewe unaweza kuchekesha. Elimu, elimu, elimu.
 
hivi iddris ni comedian?/ bongo kuna vituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…