kirusi cha ukimwi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 799
- 646
Nakuunga mkonoIla wakali wa vichekesho bongo kuna joti,majuto,braza K,Senga,pembe,bambo,mtanga,Kingwendu.....mpoki kwa mbaaliii na wakuvanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuunga mkonoIla wakali wa vichekesho bongo kuna joti,majuto,braza K,Senga,pembe,bambo,mtanga,Kingwendu.....mpoki kwa mbaaliii na wakuvanga.
kama naiona vile hio kyuma ilivonyeusiWasanii wetu wanajiita majina yasiyokuwa na maadili. Pussy ni uke kule ambako uume huingia pamoja na mashavu yake ya nje (ule mvimbo kama wa kitumbua)
Hivyo black pussy ni uke mweusi.
That means (k**ma nyeusi)
Halafu hata akina Juliana Shonza hawajamfungia wala kumwambia abadili Jina. Pengine nao hawajui
serious, kwenye ile clip ina kale kakatuni ka kijanievelyn kweli umeiona ?
ok vizuriserious, kwenye ile clip ina kale kakatuni ka kijani
Jaymond kavaa khanga sijui hakua na boxa sijui ilipita kwa nje ila inaonekana, bahati yake tu hana kibamia angejitia aibu, akaishia tu kusifiwa lile dude la kijeshi ila sijui Kwanini alifanya vile
Bwakila, Mkude Simba au Kitale ni mtu mmoja tu.Nawapenda akina Bwakila, Stani Bakora na Mkude Simba... wanachekesha
BONGO COMEDY YA KUGANDAMIZIAWatanzania unafiki ni sehemu ya maisha yetu. Nadhani ni sababu mojawapo kwa nini hatuendelei.
Pamoja na hilo kuna watu tusiojua kabisa kuhusu unafiki, we call a spade a spade, white colour white.
Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji sio hawaiwezi.
1. Idrissa.
2. Blackpussy.
3. Oka Martin.
4. Mkali wenu.
5. Dulvan.
6. Mc Pilipili.
7. Jaymond.
8. Katarina wa Karatu.
9. Ebitoke.
Hawa watu hawajui kabisa kuchekesha. Yani hawajui na hawajui kama hawajui. Wanatumia nguvu nyingi mno.
Hakuna kazi rahisi kama kuchekesha binadam. Kitu pekee ambacho binadam anaweza kukifanya na kwa haraka bila gharama yoyote ni kucheka.
Kazi zipo nyingi za kufanya, watafte kazi nyingine. Steve Nyerere tulimwambia mapema akasikia akatafta kazi nyingine ya kufanya.
Namba 5-9 ni updates toka kwa wadau.
Umewasahau wale wa ITV jumapiliIla wakali wa vichekesho bongo kuna joti,majuto,braza K,Senga,pembe,bambo,mtanga,Kingwendu.....mpoki kwa mbaaliii na wakuvanga.
Acha kutetea maujingasio lazma ucheke wewe ndio uwakubalii...
Acha uongo pussy ni kyumavyovyote itakavyoandikwa, lakini maana halisi ya black pussy ni "kalio jeusi", yeye mwenyewe ni mweusi automatically ana makalio meusi...hahaha, alafu anajitaja hilo jina.
Na ya utosiniAisee mkali wenu" ni anatumia nguvu nyingi sanah,hadi mishipa ya shingo na uso inasimama.
unaishi kwa kukarii unazan Mchekeshaji ni Mzee Majuto peke yake...Acha kutetea maujinga
Unazungumza na mimi au? Kama mimi ni wapi nilipokutajia mchekeshaji ninae mpenda???unaishi kwa kukarii unazan Mchekeshaji ni Mzee Majuto peke yake...