Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji hawaiwezi

Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji hawaiwezi

Huyo pilipili na idrissa hao ndio hamna kitu kabisaa. Yani hawajawahi kunifanya nicheke
 
Hapo naona kidogo mkali wenu anajitahidi,,wengine hao kusema kweli mimi siwaelewi
 
Wasanii wetu wanajiita majina yasiyokuwa na maadili. Pussy ni uke kule ambako uume huingia pamoja na mashavu yake ya nje (ule mvimbo kama wa kitumbua)

Hivyo black pussy ni uke mweusi.

That means (k**ma nyeusi)

Halafu hata akina Juliana Shonza hawajamfungia wala kumwambia abadili Jina. Pengine nao hawajui
Anaitwa blackpas sio black pussy jaman uwiiii
 
idris ana improve kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele,alivyoanza nilikuwa simkubali,kuanzia kule kwenye funny felas ila namuona kapiga hatua sasa hivi .
 
Pilipili anatumia nguvu sana
Hajui kitu[/QU

Nashangaa wanaochekeshwa na MCPilipili,ukweli jamaa hajui, anarudia vichekesho vyake,hana ubunifu wa vichejesho vpya. Mfano mi huwa namfuatilia jamaa MCA Tricky wa churchillShow(kenya) sijawahi ona anarudia vichekesho vyake na jama yuko vizuri kila show.
 
Back
Top Bottom