Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Leo jioni Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amepost propaganda mfu wanazozitengeneza huko CCM kuwakebehi na kuwajengea picha mbaya Wanamageuzi wa kweli wa Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema eti wasiaminiwe kwa sababu familia zao zipo nje ya Tanzania.
Napenda kutumia jukwaa hili kumwambia mwigulu Nchemba kuwa propaganda yake hii imeshafeli na haiwezi kufanikiwa kuwarubuni Watanzania wa sasa tuliosoma na tunaojua historia sio tu ya Tanzania bali ya Dunia kwa ujumla.
Watanzania wa leo tunajua kuwa Wapigania Ukombozi wote hawakuwahi kuziweka familia zao katik nchi ambazo walikuwa wanafanya harakati za Ukombozi ili kuepuka familia zao kutekwa na kuuwawa kama wanavyofanya CCM hapa nchini.
Watanzania wa leo tunajua familia ya Rais wa sasa wa Uganda ilibidi iishi Tanzania wakati Baba yao Mzee Yoweri Museveni anapigania ukombozi nchini Uganda chini ya Dikteta Iddi Amin Dada. Hata Mtoto wake wa kwanza ambaye sasa ni Mkuu wa Majeshi ya Uganda Muhoozi Kainerugaba amezaliwa na kusomea elimu ya awali nchini Tanzania wakati mzee wao kawahifadhi hapa.
Sio huyo tu, Joseph Kabila mtoto wa aliyekuwa Rais wa Congo Laurent Kabila amekulia na kusoma nchini Tanzania baada ya Baba yao kuja kuwaficha yeye na mama yake hapa nchini kipindi akipambana na Serikali ya Mobutu Seseko Kuku wa Zebanga.
Mwisho tunapenda kumwambia Mwigulu. Watanzania wa leo tunajua pia Wapigania Ukombozi wa Kusini mwa Afrika walikuja kuishi hapa na wengine kuleta Familia zao hapa kipindi wanapigania Ukombozi katika Mataifa yao hivyo Mwigulu asituone Watanzania wa sasa mafala. Hizi propaganda zake akawalishe wajinga waliojaa UVCCM. Watanzania wa leo sio wa jana hivyo hawezi kutulaghai kwa sababu tunajua familia za Tundu Lissu na Godbless Lema zipo nje ya Tanzania kwa sababu za kiusalama dhidi ya wanyonya damu na wauaji CCM.