Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #21
Hawajui tu. Mabadiliko hayakwepekiWanaogopa Mabadiliko ni wale walioshiba lakini Maskini hawezi kuogopa Mabadiliko by Jk Nyerere

KLeo jioni Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amepost propaganda mfu wanazozitengeneza huko CCM kuwakebehi na kuwajengea picha mbaya Wanamageuzi wa kweli wa Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema eti wasiaminiwe kwa sababu familia zao zipo nje ya Tanzania.
View attachment 3361488
Napenda kutumia jukwaa hili kumwambia mwigulu Nchemba kuwa propaganda yake hii imeshafeli na haiwezi kufanikiwa kuwarubuni Watanzania wa sasa tuliosoma na tunaojua historia sio tu ya Tanzania bali ya Dunia kwa ujumla.
Watanzania wa leo tunajua kuwa Wapigania Ukombozi wote hawakuwahi kuziweka familia zao katik nchi ambazo walikuwa wanafanya harakati za Ukombozi ili kuepuka familia zao kutekwa na kuuwawa kama wanavyofanya CCM hapa nchini.
Watanzania wa leo tunajua familia ya Rais wa sasa wa Uganda ilibidi iishi Tanzania wakati Baba yao Mzee Yoweri Museveni anapigania ukombozi nchini Uganda chini ya Dikteta Iddi Amin Dada. Hata Mtoto wake wa kwanza ambaye sasa ni Mkuu wa Majeshi ya Uganda Muhoozi Kainerugaba amezaliwa na kusomea elimu ya awali nchini Tanzania wakati mzee wao kawahifadhi hapa.
View attachment 3361511
Sio huyo tu, Joseph Kabila mtoto wa aliyekuwa Rais wa Congo Laurent Kabila amekulia na kusoma nchini Tanzania baada ya Baba yao kuja kuwaficha yeye na mama yake hapa nchini kipindi akipambana na Serikali ya Mobutu Seseko Kuku wa Zebanga.
View attachment 3361515
Mwisho tunapenda kumwambia Mwigulu. Watanzania wa leo tunajua pia Wapigania Ukombozi wa Kusini mwa Afrika walikuja kuishi hapa na wengine kuleta Familia zao hapa kipindi wanapigania Ukombozi katika Mataifa yao hivyo Mwigulu asituone Watanzania wa sasa mafala. Hizi propaganda zake akawalishe wajinga waliojaa UVCCM. Watanzania wa leo sio wa jana hivyo hawezi kutulaghai kwa sababu tunajua familia za Tundu Lissu na Godbless Lema zipo nje ya Tanzania kwa sababu za kiusalama dhidi ya wanyonya damu na wauaji CCM.
View attachment 3361520View attachment 3361521
Kama wame funga sehemu za comment section. Tumuendee DM kwa sms za kutosha. Ataelewa tu. Single user tuma hata sms 100.Leo jioni Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amepost propaganda mfu wanazozitengeneza huko CCM kuwakebehi na kuwajengea picha mbaya Wanamageuzi wa kweli wa Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema eti wasiaminiwe kwa sababu familia zao zipo nje ya Tanzania.
View attachment 3361488
Napenda kutumia jukwaa hili kumwambia mwigulu Nchemba kuwa propaganda yake hii imeshafeli na haiwezi kufanikiwa kuwarubuni Watanzania wa sasa tuliosoma na tunaojua historia sio tu ya Tanzania bali ya Dunia kwa ujumla.
Watanzania wa leo tunajua kuwa Wapigania Ukombozi wote hawakuwahi kuziweka familia zao katik nchi ambazo walikuwa wanafanya harakati za Ukombozi ili kuepuka familia zao kutekwa na kuuwawa kama wanavyofanya CCM hapa nchini.
Watanzania wa leo tunajua familia ya Rais wa sasa wa Uganda ilibidi iishi Tanzania wakati Baba yao Mzee Yoweri Museveni anapigania ukombozi nchini Uganda chini ya Dikteta Iddi Amin Dada. Hata Mtoto wake wa kwanza ambaye sasa ni Mkuu wa Majeshi ya Uganda Muhoozi Kainerugaba amezaliwa na kusomea elimu ya awali nchini Tanzania wakati mzee wao kawahifadhi hapa.
View attachment 3361511
Sio huyo tu, Joseph Kabila mtoto wa aliyekuwa Rais wa Congo Laurent Kabila amekulia na kusoma nchini Tanzania baada ya Baba yao kuja kuwaficha yeye na mama yake hapa nchini kipindi akipambana na Serikali ya Mobutu Seseko Kuku wa Zebanga.
View attachment 3361515
Mwisho tunapenda kumwambia Mwigulu. Watanzania wa leo tunajua pia Wapigania Ukombozi wa Kusini mwa Afrika walikuja kuishi hapa na wengine kuleta Familia zao hapa kipindi wanapigania Ukombozi katika Mataifa yao hivyo Mwigulu asituone Watanzania wa sasa mafala. Hizi propaganda zake akawalishe wajinga waliojaa UVCCM. Watanzania wa leo sio wa jana hivyo hawezi kutulaghai kwa sababu tunajua familia za Tundu Lissu na Godbless Lema zipo nje ya Tanzania kwa sababu za kiusalama dhidi ya wanyonya damu na wauaji CCM.
View attachment 3361520View attachment 3361521
Kama yeye ni mtanzania kwa nini ameruhusu kama waziri wa fedha ameruhusu mradi wa Taifa gas (unaomilikiwa na Rostam) na mradi mpya wa gas unaomilikwa na ASAS wote wenye asili ya nje ya Tanzania.Tuna matajiri kuanzia Mbeya,Geita na Kilimanjaro wenye uwezo huo. Cha kuongezea makampuni yote ya ujenzi ya class 1 (ESTIM; Group Six, CCECC na CRJE ) yanamilikiwa na watu wenye asili ya nje ya Tanzania. Tajiri namba moja Tanzania ni Mgujirati wa India Mohammed Dewji ambae alikuwa mbunge wa singida mbali na kujenga hakurekebisha shule wala zahanati. Tatizo serikali inapendelea wahindi, waarabu na wachina kwa sababu wazawa hawana mbinu ya kusafirisha hela nje ya nchi. Naongea haya kutokana na experience kama mdau wa masuala ya ujenzi. Kuna tenda niliomba nikapewa akaunti ya dubai niingize hela ili nipewe tenda. Nitatumaje kiasi kikubwa cha hela Dubai bila invoice ? Uchumi wa Tanzania unamilikiwa na waarabu, wahindi na wachina. Kinachoniuma zaidi tuna Usalama wa Taifa na haya mambo yanatendeka. Tukiendelea hivi ndani ya miaka 20 tutakuwa kama Kongo. Hali ya nchi leo hii ni kama Congo enzi za Mobutu au Kenya enzi za Moi.
Huna akiliKumbe ni kweli wapo inje? Ohooooo
Basi sasa ni
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅✅✅✅
Safi sana! Fisiemu Wana propaganda uchwara sana na hawajitambui kabisa!Leo jioni Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amepost propaganda mfu wanazozitengeneza huko CCM kuwakebehi na kuwajengea picha mbaya Wanamageuzi wa kweli wa Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema eti wasiaminiwe kwa sababu familia zao zipo nje ya Tanzania.
View attachment 3361488
Napenda kutumia jukwaa hili kumwambia mwigulu Nchemba kuwa propaganda yake hii imeshafeli na haiwezi kufanikiwa kuwarubuni Watanzania wa sasa tuliosoma na tunaojua historia sio tu ya Tanzania bali ya Dunia kwa ujumla.
Watanzania wa leo tunajua kuwa Wapigania Ukombozi wote hawakuwahi kuziweka familia zao katik nchi ambazo walikuwa wanafanya harakati za Ukombozi ili kuepuka familia zao kutekwa na kuuwawa kama wanavyofanya CCM hapa nchini.
Watanzania wa leo tunajua familia ya Rais wa sasa wa Uganda ilibidi iishi Tanzania wakati Baba yao Mzee Yoweri Museveni anapigania ukombozi nchini Uganda chini ya Dikteta Iddi Amin Dada. Hata Mtoto wake wa kwanza ambaye sasa ni Mkuu wa Majeshi ya Uganda Muhoozi Kainerugaba amezaliwa na kusomea elimu ya awali nchini Tanzania wakati mzee wao kawahifadhi hapa.
View attachment 3361511
Sio huyo tu, Joseph Kabila mtoto wa aliyekuwa Rais wa Congo Laurent Kabila amekulia na kusoma nchini Tanzania baada ya Baba yao kuja kuwaficha yeye na mama yake hapa nchini kipindi akipambana na Serikali ya Mobutu Seseko Kuku wa Zebanga.
View attachment 3361515
Mwisho tunapenda kumwambia Mwigulu. Watanzania wa leo tunajua pia Wapigania Ukombozi wa Kusini mwa Afrika walikuja kuishi hapa na wengine kuleta Familia zao hapa kipindi wanapigania Ukombozi katika Mataifa yao hivyo Mwigulu asituone Watanzania wa sasa mafala. Hizi propaganda zake akawalishe wajinga waliojaa UVCCM. Watanzania wa leo sio wa jana hivyo hawezi kutulaghai kwa sababu tunajua familia za Tundu Lissu na Godbless Lema zipo nje ya Tanzania kwa sababu za kiusalama dhidi ya wanyonya damu na wauaji CCM.
View attachment 3361520View attachment 3361521
Aaminiwe yeye anaye aanda wanae kuwa kwenye TABAKA la watawala wa nchi hii; kundi moja na akina Abdul?Leo jioni Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amepost propaganda mfu wanazozitengeneza huko CCM kuwakebehi na kuwajengea picha mbaya Wanamageuzi wa kweli wa Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema eti wasiaminiwe kwa sababu familia zao zipo nje ya Tanzania.
Kama yeye ni mtanzania kwa nini ameruhusu kama waziri wa fedha ameruhusu mradi wa Taifa gas (unaomilikiwa na Rostam) na mradi mpya wa gas unaomilikwa na ASAS wote wenye asili ya nje ya Tanzania.Tuna matajiri kuanzia Mbeya,Geita na Kilimanjaro wenye uwezo huo. Cha kuongezea makampuni yote ya ujenzi ya class 1 (ESTIM; Group Six, CCECC na CRJE ) yanamilikiwa na watu wenye asili ya nje ya Tanzania. Tajiri namba moja Tanzania ni Mgujirati wa India Mohammed Dewji ambae alikuwa mbunge wa singida mbali na kujenga hakurekebisha shule wala zahanati. Tatizo serikali inapendelea wahindi, waarabu na wachina kwa sababu wazawa hawana mbinu ya kusafirisha hela nje ya nchi. Naongea haya kutokana na experience kama mdau wa masuala ya ujenzi. Kuna tenda niliomba nikapewa akaunti ya dubai niingize hela ili nipewe tenda. Nitatumaje kiasi kikubwa cha hela Dubai bila invoice ? Uchumi wa Tanzania unamilikiwa na waarabu, wahindi na wachina. Kinachoniuma zaidi tuna Usalama wa Taifa na haya mambo yanatendeka. Tukiendelea hivi ndani ya miaka 20 tutakuwa kama Kongo. Hali ya nchi leo hii ni kama Congo enzi za Mobutu au Kenya enzi za Moi.
Anakula uji +mihogo mikavuMwigulu mtoto wake amenenepa sana mashavu kama wale paka wa ferry.
Anakula nini yule dogo?
Ni kweli. Kwa mfano, ukiwa ndani ya nchi na familia yako unashangaa wanamteka mke na mtoto wako halafu wanakupigia video call wanasema saini hayo makubaliano ya kushiriki uchaguzi la sivyo tunaimaliza familia yako, lazima utasaini tu. Hapo watoto na mke wako wameelekezewa bastola kichwani. Waendelee kukaa huko huko nje!Leo jioni Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amepost propaganda mfu wanazozitengeneza huko CCM kuwakebehi na kuwajengea picha mbaya Wanamageuzi wa kweli wa Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema eti wasiaminiwe kwa sababu familia zao zipo nje ya Tanzania.
View attachment 3361488
Napenda kutumia jukwaa hili kumwambia mwigulu Nchemba kuwa propaganda yake hii imeshafeli na haiwezi kufanikiwa kuwarubuni Watanzania wa sasa tuliosoma na tunaojua historia sio tu ya Tanzania bali ya Dunia kwa ujumla.
Watanzania wa leo tunajua kuwa Wapigania Ukombozi wote hawakuwahi kuziweka familia zao katik nchi ambazo walikuwa wanafanya harakati za Ukombozi ili kuepuka familia zao kutekwa na kuuwawa kama wanavyofanya CCM hapa nchini.
Watanzania wa leo tunajua familia ya Rais wa sasa wa Uganda ilibidi iishi Tanzania wakati Baba yao Mzee Yoweri Museveni anapigania ukombozi nchini Uganda chini ya Dikteta Iddi Amin Dada. Hata Mtoto wake wa kwanza ambaye sasa ni Mkuu wa Majeshi ya Uganda Muhoozi Kainerugaba amezaliwa na kusomea elimu ya awali nchini Tanzania wakati mzee wao kawahifadhi hapa.
View attachment 3361511
Sio huyo tu, Joseph Kabila mtoto wa aliyekuwa Rais wa Congo Laurent Kabila amekulia na kusoma nchini Tanzania baada ya Baba yao kuja kuwaficha yeye na mama yake hapa nchini kipindi akipambana na Serikali ya Mobutu Seseko Kuku wa Zebanga.
View attachment 3361515
Mwisho tunapenda kumwambia Mwigulu. Watanzania wa leo tunajua pia Wapigania Ukombozi wa Kusini mwa Afrika walikuja kuishi hapa na wengine kuleta Familia zao hapa kipindi wanapigania Ukombozi katika Mataifa yao hivyo Mwigulu asituone Watanzania wa sasa mafala. Hizi propaganda zake akawalishe wajinga waliojaa UVCCM. Watanzania wa leo sio wa jana hivyo hawezi kutulaghai kwa sababu tunajua familia za Tundu Lissu na Godbless Lema zipo nje ya Tanzania kwa sababu za kiusalama dhidi ya wanyonya damu na wauaji CCM.
View attachment 3361520View attachment 3361521
Kongole sana kwa huu uzi, sina la kuongeza.Leo jioni Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amepost propaganda mfu wanazozitengeneza huko CCM kuwakebehi na kuwajengea picha mbaya Wanamageuzi wa kweli wa Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema eti wasiaminiwe kwa sababu familia zao zipo nje ya Tanzania.
View attachment 3361488
Napenda kutumia jukwaa hili kumwambia mwigulu Nchemba kuwa propaganda yake hii imeshafeli na haiwezi kufanikiwa kuwarubuni Watanzania wa sasa tuliosoma na tunaojua historia sio tu ya Tanzania bali ya Dunia kwa ujumla.
Watanzania wa leo tunajua kuwa Wapigania Ukombozi wote hawakuwahi kuziweka familia zao katik nchi ambazo walikuwa wanafanya harakati za Ukombozi ili kuepuka familia zao kutekwa na kuuwawa kama wanavyofanya CCM hapa nchini.
Watanzania wa leo tunajua familia ya Rais wa sasa wa Uganda ilibidi iishi Tanzania wakati Baba yao Mzee Yoweri Museveni anapigania ukombozi nchini Uganda chini ya Dikteta Iddi Amin Dada. Hata Mtoto wake wa kwanza ambaye sasa ni Mkuu wa Majeshi ya Uganda Muhoozi Kainerugaba amezaliwa na kusomea elimu ya awali nchini Tanzania wakati mzee wao kawahifadhi hapa.
View attachment 3361511
Sio huyo tu, Joseph Kabila mtoto wa aliyekuwa Rais wa Congo Laurent Kabila amekulia na kusoma nchini Tanzania baada ya Baba yao kuja kuwaficha yeye na mama yake hapa nchini kipindi akipambana na Serikali ya Mobutu Seseko Kuku wa Zebanga.
View attachment 3361515
Mwisho tunapenda kumwambia Mwigulu. Watanzania wa leo tunajua pia Wapigania Ukombozi wa Kusini mwa Afrika walikuja kuishi hapa na wengine kuleta Familia zao hapa kipindi wanapigania Ukombozi katika Mataifa yao hivyo Mwigulu asituone Watanzania wa sasa mafala. Hizi propaganda zake akawalishe wajinga waliojaa UVCCM. Watanzania wa leo sio wa jana hivyo hawezi kutulaghai kwa sababu tunajua familia za Tundu Lissu na Godbless Lema zipo nje ya Tanzania kwa sababu za kiusalama dhidi ya wanyonya damu na wauaji CCM.
View attachment 3361520View attachment 3361521
aliyeshiba hawezijua mwenye njaa anaumiaje tumboKama yeye ni mtanzania kwa nini ameruhusu kama waziri wa fedha ameruhusu mradi wa Taifa gas (unaomilikiwa na Rostam) na mradi mpya wa gas unaomilikwa na ASAS wote wenye asili ya nje ya Tanzania.Tuna matajiri kuanzia Mbeya,Geita na Kilimanjaro wenye uwezo huo. Cha kuongezea makampuni yote ya ujenzi ya class 1 (ESTIM; Group Six, CCECC na CRJE ) yanamilikiwa na watu wenye asili ya nje ya Tanzania. Tajiri namba moja Tanzania ni Mgujirati wa India Mohammed Dewji ambae alikuwa mbunge wa singida mbali na kujenga hakurekebisha shule wala zahanati. Tatizo serikali inapendelea wahindi, waarabu na wachina kwa sababu wazawa hawana mbinu ya kusafirisha hela nje ya nchi. Naongea haya kutokana na experience kama mdau wa masuala ya ujenzi. Kuna tenda niliomba nikapewa akaunti ya dubai niingize hela ili nipewe tenda. Nitatumaje kiasi kikubwa cha hela Dubai bila invoice ? Uchumi wa Tanzania unamilikiwa na waarabu, wahindi na wachina. Kinachoniuma zaidi tuna Usalama wa Taifa na haya mambo yanatendeka. Tukiendelea hivi ndani ya miaka 20 tutakuwa kama Kongo. Hali ya nchi leo hii ni kama Congo enzi za Mobutu au Kenya enzi za Moi.
Wanatuona wajinga kiasi cha kutidanganya hovyo kama wanavyowadanganya na kuwapelekesha mazuzu yao ya UVCCMSafi sana! Fisiemu Wana propaganda uchwara sana na hawajitambui kabisa!