ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hakuna watu rahisi kulana kama wanandoa, yaani nimeshuhudia kwa macho yangu kabisa mke wa mtu ana watoto wawili na tena alikuwaga single mother akaolewa na mumewe ni dereva wa bajaji wakapata mtoto sasa jana nimeona akitoka guest house na jamaa fulani mvuvi wa samaki imeniuma sana kwa kweli nawapa pole mliooa mnapigiwa sana.
Mnisamehe kama nimekosea kusema haya ila kwa kweli kama mkeo hana tabia hio basi hongera kwa familia zenu ila huo ndo ukweli wenyewe mimi ni shahidi kabisa.
Mnisamehe kama nimekosea kusema haya ila kwa kweli kama mkeo hana tabia hio basi hongera kwa familia zenu ila huo ndo ukweli wenyewe mimi ni shahidi kabisa.