Mlio katika ndoa poleni, mnagongewa sana

Mlio katika ndoa poleni, mnagongewa sana

Anhaa!....Ila ukioa mwanamke ambaye hana hofu ya Mungu basi ni rahisi mno Kuumia kila kukicha mkuu

Kama mwanamke wa kwanza(Hawa) ambaye ni mama wa wanawake na viumbe wote jamii ya wanadamu kadanganywa unafikiri hawa wengine itakuaje mkuu???

Kikubwa awe na hofu ya Mungu la sivyo lolote linaweza kutokea safarini
wanapatikana wapi hawa waoga wa Mungu? bado wapo? sidhani....TAFUTA HELA
 
Anhaa!....Ila ukioa mwanamke ambaye hana hofu ya Mungu basi ni rahisi mno Kuumia kila kukicha mkuu

Kama mwanamke wa kwanza(Hawa) ambaye ni mama wa wanawake na viumbe wote jamii ya wanadamu kadanganywa unafikiri hawa wengine itakuaje mkuu???

Kikubwa awe na hofu ya Mungu la sivyo lolote linaweza kutokea safarini
Hofu ya Mungu...wanagongwa tu
 
Duniani kuna fujo sana....

Ndoa ni mkataba wa rohoni, binadamu huwezi kumchunga wala kumrekebisha. Kikubwa ni kwenda na Mungu wako kwenye haya maamuzi na kufanya yanayostahili

Hapo utakuta dereva bajaji anayeongewa mkewe na mvuvi nae anagongana na mke wa mwenye bajaji, halafu unakuta mvuvi nae anagongewa mkewe na kondakta kondakta nae anagongewa na bodaboda
ili mradi kila mmoja afaidi neema ya dunia Hiyo ni nature kwenye ubora wake.
 
Hakuna watu rahisi kulana kama wanandoa, yaani nimeshuhudia kwa macho yangu kabisa mke wa mtu ana watoto wawili na tena alikuwaga single mother akaolewa na mumewe ni dereva wa bajaji wakapata mtoto sasa jana nimeona akitoka guest house na jamaa fulani mvuvi wa samaki imeniuma sana kwa kweli nawapa pole mliooa mnapigiwa sana.

Mnisamehe kama nimekosea kusema haya ila kwa kweli kama mkeo hana tabia hio basi hongera kwa familia zenu ila huo ndo ukweli wenyewe mimi ni shahidi kabisa.

Wewe jamaa ni mtu wa ajabu sana, yaani ulichokiona kwa mtu mmoja umekitumia kuhukumu Wanawake wote?. Kwenye taratibu za research huwa kuna ishu ya Sample space na Replication,ndio watu huwezi kusema chochote lkn sio kwa kukutumia tu mmoja.
 
Kaka hata wewe uliowagonga kwasasa ni wake za watu hivyo kumbuka kugongewa ni jambo la kawaida kikubwa awe anarudi nyumbani na anaemgonga usimjue hapo utaoana anakuheshimu.

Ndio maana hata huyo uliemuona mumewe hamjui hao wanapendana na huyo mwanamke anamuheshimu Mumewe.
Imeisha hiyo
Cha msingi aje ameiosha tu basi
 
Hakuna watu rahisi kulana kama wanandoa, yaani nimeshuhudia kwa macho yangu kabisa mke wa mtu ana watoto wawili na tena alikuwaga single mother akaolewa na mumewe ni dereva wa bajaji wakapata mtoto sasa jana nimeona akitoka guest house na jamaa fulani mvuvi wa samaki imeniuma sana kwa kweli nawapa pole mliooa mnapigiwa sana.

Mnisamehe kama nimekosea kusema haya ila kwa kweli kama mkeo hana tabia hio basi hongera kwa familia zenu ila huo ndo ukweli wenyewe mimi ni shahidi kabisa.

Kama unaogopa kugongewa basi USIOE bro, otherwise utakufa kwa presha siku sio zako.
 
Mwanamke ni kiumbe dhaifu kimwili, kiakili na kifkira.

Ukimtania yeye tayari ashahisi vingine

ukimsaidia tayari ashahisi vingine

Ukimsalimia kila siku tayari ashahisi vingine

ukimwangalia tayari ashahisi

Sio hawa tu hii ni toka wale wanawake waliokuwepo toka enzi za Eva, kabla ya ukoloni na baada ya ukoloni kwa hiyo ni nature yao tu, hakuna wa kubadilisha hili swala, tutaondoka duniani watakuja wengine watalalamika hivi hivi ila jibu halitapatikana hadi mwenyezi Mungu aamue vinginevyo
Hapo ndio walishakosa akili
 
Usisahau kwamba hawa tunaojiongopea kwamba ndio madem zetu wa ndoto wanaliwa Sana na waume za watu kwahiyo tisijiongopee

Wanawake wanajikuta wanachepuka kwa dhiki tu,
kinachofurahisha wao Kuna umri ukifika hataki tena hiyo mitusi tofauti na sisi wanaume
Wavulana wasijifariji maana hawana pesa za kutunza tusichana tuko kwenye umri wa show off matokeo yake wanaume wanawakula kwa vile wanapesa japo za kuwapa wakanunue kipstik
 
yani maisha ni ya ajabu sana yani mtu unakuta unakula mke wa mtu alafu na watu wanakula mke wako.
kiufupi mtu ka hana hofu ya Mungu ni sawa na mtu kujaribu kukinga maji kwa gunia
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mpaka mwanamke anafikia stage ya kukubali kuw amke wa mtu inakuaje anakubali kuchezewa hekalu lake?

Kwangu naamini mwanamke aliyeolewa no matter what anapitia katika ndoa yake hapaswi kuchepuka. Biblia haiwasahii kunguni kabisa wanaume. Ni wanawake tu. Ni vyema tukajitambua thamani zetu. Na kama ndoa imeshindikana basi achaneni rasmi. Mwanamke mwili wako ni hekalu. Ilinde.
Hadithi za kwenye biblia na uhalisia wa maisha ya duniani ni vitu viwili tofauti
 
Ni mawazo ya kitoto tu..

Hayo mambo yalikuepo tangu zamani, hata mama yako amegongwa sana na wanaume tofauti na baba yako na yawezekana mpaka huyo unayemwita baba yako sio baba yako.

Najua umeukuta msemo usemao kitanda hakizai haramu.. waliyajua haya. Ila kwakuwa ww ni mtoto ndio maana unashangaa leo.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Duniani kuna fujo sana....

Ndoa ni mkataba wa rohoni, binadamu huwezi kumchunga wala kumrekebisha. Kikubwa ni kwenda na Mungu wako kwenye haya maamuzi na kufanya yanayostahili

Hapo utakuta dereva bajaji anayeongewa mkewe na mvuvi nae anagongana na mke wa mwenye bajaji, halafu unakuta mvuvi nae anagongewa mkewe na kondakta kondakta nae anagongewa na bodaboda
Hiyo chain ni hatari na hapo HIV itasambaa km moto nyikani..
 
Hiyo chain ni hatari na hapo HIV itasambaa km moto nyikani..

Wanasema siku hizi haitishi eti dawa zipo,
Tena unakuta mtu mzima kabisa na msomi mwenye uelewa mkubwa wa mambo lakini hataki kujua hayo na hana habareee
 
Back
Top Bottom