Mlio katika ndoa poleni, mnagongewa sana

Mlio katika ndoa poleni, mnagongewa sana

Duniani kuna fujo sana....

Ndoa ni mkataba wa rohoni, binadamu huwezi kumchunga wala kumrekebisha. Kikubwa ni kwenda na Mungu wako kwenye haya maamuzi na kufanya yanayostahili

Hapo utakuta dereva bajaji anayeongewa mkewe na mvuvi nae anagongana na mke wa mwenye bajaji, halafu unakuta mvuvi nae anagongewa mkewe na kondakta kondakta nae anagongewa na bodaboda
Kwa hyo n mwendo wa kugongeana.
 
Kwa hyo n mwendo wa kugongeana.

Yaani huo ndio mwendo...

Wewe ukimgea mwenzio mke ujue na wewe unagongewa mkeo, na anaekugongea pia anagongewa mke wake

Hali ndio iko hivyo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna watu rahisi kulana kama wanandoa, yaani nimeshuhudia kwa macho yangu kabisa mke wa mtu ana watoto wawili na tena alikuwaga single mother akaolewa na mumewe ni dereva wa bajaji wakapata mtoto sasa jana nimeona akitoka guest house na jamaa fulani mvuvi wa samaki imeniuma sana kwa kweli nawapa pole mliooa mnapigiwa sana.

Mnisamehe kama nimekosea kusema haya ila kwa kweli kama mkeo hana tabia hio basi hongera kwa familia zenu ila huo ndo ukweli wenyewe mimi ni shahidi kabisa.

Hapo kinachouma sio kutombewa tu ila kinachouma zaidi ni kutombewa na muuza samaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna watu rahisi kulana kama wanandoa, yaani nimeshuhudia kwa macho yangu kabisa mke wa mtu ana watoto wawili na tena alikuwaga single mother akaolewa na mumewe ni dereva wa bajaji wakapata mtoto sasa jana nimeona akitoka guest house na jamaa fulani mvuvi wa samaki imeniuma sana kwa kweli nawapa pole mliooa mnapigiwa sana.

Mnisamehe kama nimekosea kusema haya ila kwa kweli kama mkeo hana tabia hio basi hongera kwa familia zenu ila huo ndo ukweli wenyewe mimi ni shahidi kabisa.

" Nitakupa samaki unikubalieee" in Galatone voice. Hatari sana wazee hawa baadhi ya wanawake wasio waaminifu kwny ndoa zao.

Ndo maana unaambiwa kuna wanawake wa starehe na wanawake wa kujenga familia asa we kosea ufanye vice versa, utajuta maisha aisee.
 
Hakuna watu rahisi kulana kama wanandoa, yaani nimeshuhudia kwa macho yangu kabisa mke wa mtu ana watoto wawili na tena alikuwaga single mother akaolewa na mumewe ni dereva wa bajaji wakapata mtoto sasa jana nimeona akitoka guest house na jamaa fulani mvuvi wa samaki imeniuma sana kwa kweli nawapa pole mliooa mnapigiwa sana.

Mnisamehe kama nimekosea kusema haya ila kwa kweli kama mkeo hana tabia hio basi hongera kwa familia zenu ila huo ndo ukweli wenyewe mimi ni shahidi kabisa.

Kwa hiyo mkuu na wewe unathibitisha kabisa unagongewa?
 
Mpaka mwanamke anafikia stage ya kukubali kuw amke wa mtu inakuaje anakubali kuchezewa hekalu lake?

Kwangu naamini mwanamke aliyeolewa no matter what anapitia katika ndoa yake hapaswi kuchepuka. Biblia haiwasahii kunguni kabisa wanaume. Ni wanawake tu. Ni vyema tukajitambua thamani zetu. Na kama ndoa imeshindikana basi achaneni rasmi. Mwanamke mwili wako ni hekalu. Ilinde.
Umeandika kiroho sana, kiuhalisia na maisha ya sasa yalivyo ni tofauti kabisa. Wake za watu(baadhi) ni wanachezea kama kawaida.
 
Ni ukweli tu kuwa hao tunaowaita "wake za watu" baadhi yao kwa sasa ni wanachezea vibaya mno, kuna wakati nadhani hata singles wana afadhali katika hili, nashindwa kuelewa ni nini, stress za ndoa, tamaa za mali, kukosa kuridhishwa au matamanio ya kibinadamu. Kuna uwezekano wababa wanaolea damu zisizo zao wanaongezeka sana kizazi hiki coz baadhi ya hawa wake zetu wanachapika hakuna mfano.
 
Umeandika kiroho sana, kiuhalisia na maisha ya sasa yalivyo ni tofauti kabisa. Wake za watu(baadhi) ni wanachezea kama kawaida.
Dah, bora nife na nyeg* zangu tu mkuu. Tumepitia milima na mabonde. Tumeshakua wakubwa. Tunajua jema na baya. Basi tujilinde jamani. Kheee... unajua unapochepuka kwa wakati huo huwezi ona ubaya wake. Kuna muda unakuja kukaa ukifikiria unajikuta na majuto makuu. Kwanini yote hayo? Heshima zetu mbele ya jamii ndo kila kitu. Magonjwa mengi jamani.
 
Anhaa!....Ila ukioa mwanamke ambaye hana hofu ya Mungu basi ni rahisi mno Kuumia kila kukicha mkuu

Kama mwanamke wa kwanza(Hawa) ambaye ni mama wa wanawake na viumbe wote jamii ya wanadamu kadanganywa unafikiri hawa wengine itakuaje mkuu???

Kikubwa awe na hofu ya Mungu la sivyo lolote linaweza kutokea safarini
Hakuna cha hofu ya mungu wala nini,kuna mama mchungaji huku anatafunwa ,omba upate mke anayejitambua sio mwenye hofu ya mungu
 
Hiyo mbona kawaida toka enzi na enzi. Tatizo siku hizi ndo wanaongoza kwa kupelekwa kwa mpalange
 
Wewe jamaa ni mtu wa ajabu sana, yaani ulichokiona kwa mtu mmoja umekitumia kuhukumu Wanawake wote?. Kwenye taratibu za research huwa kuna ishu ya Sample space na Replication,ndio watu huwezi kusema chochote lkn sio kwa kukutumia tu mmoja.
Mtatumia kila neno hapa,mara simple space,Repli....nini sijui,lakini ukweli ndio huo mtoa mada kauleta
 
Dah, bora nife na nyeg* zangu tu mkuu. Tumepitia milima na mabonde. Tumeshakua wakubwa. Tunajua jema na baya. Basi tujilinde jamani. Kheee... unajua unapochepuka kwa wakati huo huwezi ona ubaya wake. Kuna muda unakuja kukaa ukifikiria unajikuta na majuto makuu. Kwanini yote hayo? Heshima zetu mbele ya jamii ndo kila kitu. Magonjwa mengi jamani.
Kama unachokiongea ndo unachokimaanisha bhac we n bonge la wife material ...
 
Back
Top Bottom