mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Halafu unakuta huyo mvuvi nae anagongewa mkewe na muuza supuHakuna watu rahisi kulana Kama wanandoa yaani nimeshuhudia kwa macho yangu kabisa mke wa mtu Ana watoto wawili na Tena alikuwaga single mother akaolewa na mumewe Ni dreva wa bajaji wakapata mtoto Sasa Jana nimeona akitoka guest house na jamaa fulani mvuvi wa samaki.imeniuma Sana kwa Kelli nawapa pole mlioa mnapigiwa Sana.Mnisamehe Kama nimekosea kusema haya ila kwa kweli Kama mkeo Hana tabia hio Basi hongera kwa familia zenu.ila huo ndo ukweli wenyewe Mimi ni shahidi kabisa.