Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,897
- 7,074
wacha maneno wewee, wote mnasemaga hivi hiviMpaka mwanamke anafikia stage ya kukubali kuw amke wa mtu inakuaje anakubali kuchezewa hekalu lake?
Kwangu naamini mwanamke aliyeolewa no matter what anapitia katika ndoa yake hapaswi kuchepuka. Biblia haiwasahii kunguni kabisa wanaume. Ni wanawake tu. Ni vyema tukajitambua thamani zetu. Na kama ndoa imeshindikana basi achaneni rasmi. Mwanamke mwili wako ni hekalu. Ilinde.