ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sio mvuvi mdogo hapana ni yule mwenye ngalawa zake tatuMvuvi wa samaki duuh!!, labda mwanamke anataka samaki wa bure na Jamaa ake anaacha pesa ya watoto wa samaki (dagaa) badala ya samaki wenyewe[emoji23]
Anhaa!....Ila ukioa mwanamke ambaye hana hofu ya Mungu basi ni rahisi mno Kuumia kila kukicha mkuuSio mvuvi mdogo hapana Ni yule mwenye ngalawa zake tatu
Kwamba ukiona watu tu wanatoka Guest basi wametoka kuvunja amri pendwa? Sidhani kama ni sahihi! Sisi wengine kazi zetu tunafanyia kwenye Bar, Lodge, hotel, Guest, Lounge etc. Na Staffs wetu ni wake za watu, kwahio ukinikuta siku natoka nae utakua nilikua "namdhulumu" mshkaji haki yake?Ni dreva wa bajaji wakapata mtoto Sasa Jana nimeona akitoka guest house na jamaa fulani mvuvi wa samaki.
Hicho kitu ni kweli mkuu, hata hapa mtaa wake za watu wanalika sana yani, mpaka mtu unaogopa kuoaKwa kumuona huyo mmoja tu imekupa jibu? Utafiti wako bado
Thread ifungwe, wewe umemaliza kila kitu mkuuUkiwaza kugongewa,hautaoa,
We tafuta pesa,waza kile unachoweza kuki control,vingine achana navyo,
Sasa kama unampa mkeo pesa ya kwenda sokoni kufanya maemezi.Mvuvi wa samaki duuh!!, labda mwanamke anataka samaki wa bure na Jamaa ake anaacha pesa ya watoto wa samaki (dagaa) badala ya samaki wenyewe[emoji23]
Hakuna watu rahisi kulana Kama wanandoa yaani nimeshuhudia kwa macho yangu kabisa mke wa mtu Ana watoto wawili na Tena alikuwaga single mother akaolewa na mumewe Ni dreva wa bajaji wakapata mtoto Sasa Jana nimeona akitoka guest house na jamaa fulani mvuvi wa samaki.imeniuma Sana kwa Kelli nawapa pole mlioa mnapigiwa Sana.Mnisamehe Kama nimekosea kusema haya ila kwa kweli Kama mkeo Hana tabia hio Basi hongera kwa familia zenu.ila huo ndo ukweli wenyewe Mimi ni shahidi kabisa.