Victor Mlaki JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 4,151 Reaction score 4,277 Jun 3, 2020 #21 Hao kuku wapo mpaka leo na bei yao ipo juu kama kawaida. Mimi ninao na huwa ninawauza na kununua angalia picha chini hapo. Wateja kibao nauza kiboss kabisa,huwa nakaa kwenye kiti nakunja nne mteja akija. Attachments 20200603_125829.jpg 126.1 KB · Views: 8 20200603_130157.jpg 130.3 KB · Views: 7 20200603_130123.jpg 95.3 KB · Views: 8 20200603_125601.jpg 164.7 KB · Views: 8
Hao kuku wapo mpaka leo na bei yao ipo juu kama kawaida. Mimi ninao na huwa ninawauza na kununua angalia picha chini hapo. Wateja kibao nauza kiboss kabisa,huwa nakaa kwenye kiti nakunja nne mteja akija.
mwekwa ntandu JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,040 Reaction score 2,428 Jun 3, 2020 #22 kawoli said: Na mayai ya kware. Click to expand... Na ufugaji wa mende!!! Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
kawoli said: Na mayai ya kware. Click to expand... Na ufugaji wa mende!!! Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Victor Mlaki JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 4,151 Reaction score 4,277 Jun 3, 2020 #23 mwekwa ntandu said: Na ufugaji wa mende!!! Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app Click to expand... Siyo mende tu Mimi ninafuga Nyenje "Crickets" pia hakuna hasara ni mali inakula mali
mwekwa ntandu said: Na ufugaji wa mende!!! Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app Click to expand... Siyo mende tu Mimi ninafuga Nyenje "Crickets" pia hakuna hasara ni mali inakula mali