Mlio nunua kuku aina ya Kuchi kwa zaidi ya sh. laki moja njooni hapa

Mlio nunua kuku aina ya Kuchi kwa zaidi ya sh. laki moja njooni hapa

Hao kuku wapo mpaka leo na bei yao ipo juu kama kawaida. Mimi ninao na huwa ninawauza na kununua angalia picha chini hapo.
Wateja kibao nauza kiboss kabisa,huwa nakaa kwenye kiti nakunja nne mteja akija.
 

Attachments

  • 20200603_125829.jpg
    20200603_125829.jpg
    126.1 KB · Views: 8
  • 20200603_130157.jpg
    20200603_130157.jpg
    130.3 KB · Views: 7
  • 20200603_130123.jpg
    20200603_130123.jpg
    95.3 KB · Views: 8
  • 20200603_125601.jpg
    20200603_125601.jpg
    164.7 KB · Views: 8
Back
Top Bottom