Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Hao kuku wapo mpaka leo na bei yao ipo juu kama kawaida. Mimi ninao na huwa ninawauza na kununua angalia picha chini hapo.
Wateja kibao nauza kiboss kabisa,huwa nakaa kwenye kiti nakunja nne mteja akija.
Wateja kibao nauza kiboss kabisa,huwa nakaa kwenye kiti nakunja nne mteja akija.